sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Ila wacha me nilale maana nimeshindwa kuivizia hiyo 110kKama kawaida
Ila wacha me nilale maana nimeshindwa kuivizia hiyo 110kKama kawaida
Tatizo hajapona vizuriNdiko alikotoka huko
Nawe piaaNawatakieni usiku mwema makapuku wote
Halaf we boya wewe, naona unanifata fata.. Ntakupa kibusha cha buku jero wewe..
YANGA BWANA
*ETI MAJARIBIO YA NDEGE MPYA WAPANDE TIMU YA SIMBA SABABU MUDA MREFU HAWAJAPANDA*

Ulikuwa hujui!!?Kumbe anatafuna kungu![]()
![]()
Chogi hilo, achana nalo..![]()
leo unamkataa
Mbona unaguna, hutak nisifiwe na mama watoto wangu!!?Mmmmh
Huko huko tuu.. Kuna mtoshaAtabebea kwenye ndotoo
Yeye ni mamaKwann tusimwitee??
Amelala, nadhani jana alichoka sanaSweetiepie upo mrembo?