Iko njema sana braza, habari ya wewe!Nzuri za wewe
Shwari Kapuku mwenzanguNzuri za wewe




Mpemba huyo
Nzuri sana mkuu, unaadimika sanaIko njema sana braza, habari ya wewe!
Pamoja sana kapukuShwari Kapuku mwenzangu
Buni kipindi chakoMama yetu Jimena Jimenes leta mavituziiii
Ila mama yetu Jimena tusimwite KapukuPamoja sana kapuku
Mkuu bado najifunza, nisije kuanzisha kipindi kumbe tayari kina mtuBuni kipindi chako
Siyo kulilia na kusindikiza vya wenzio daily
![]()
![]()
![]()
.........
Hata bhana endelea kuwa msindikizajiMkuu bado najifunza, nisije kuanzisha kipindi kumbe tayari kina mtu