Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ivi kwamfano mtu akianzisha thread humu JF akaipost ndo haifutiki tena au ? Labda kwa mfano nimebadili mawazo kulingana na nilichokiandika sasa nataka kukitoa, inakuwaje apo ?
Thread haifutiki /post ya kwanza unachoweza kufanya ni kuedit kwa kuyaondoa maneno yote isipokuwa uweke herufi 1 tu(can't be empty)

Post zingine zote una uwezo wa kudelete kwa kutumia option ya DELETE
.............
 
306b2009969dc5c4ba821cd8ae2397bc.jpg
1
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom