sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Hiyo inaweza kuwa nyumba ya jirani[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nyumbani kwenu
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
Hiyo inaweza kuwa nyumba ya jirani[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nyumbani kwenu
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
Leo ni peace lakin!![emoji15] [emoji15] [emoji15] Mbona wanataka nitumie mabuti yangu kuvunja miguu yao......Maana wanakuaibishaa[emoji61] [emoji61]
Wakati umeyatamaniMagoti gani km mbuzi aliyechuchumaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Kwetu hatunaga peace....ukileta fyoko fyoko hiiiLeo ni peace lakin!!
[emoji23][emoji23]
Ki vp yaani[emoji15] [emoji15] [emoji15] Mbona wanataka nitumie mabuti yangu kuvunja miguu yao......Maana wanakuaibishaa[emoji61] [emoji61]
Utafungwa weweCc: uncle Magu-mashi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ile picha wanasema ni swtpKi vp yaani
Hahahahaha utaitwa mchochezi shauri yako hahahahahaMkwepa kodi a.k.a mzee wa kufyatua![emoji23][emoji23]
[emoji15] nitafungwa kvp?Utafungwa wewe
Fresh tu, niambie we msafisha vyoo vya umma.Mambo vipi we ndezi
Muuza papai mbovu
Tapeli wa kitaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
............
Kwanini isiwe bure, wacha tutest huduma watuvutie wateja.Hainaga bure kwenye ndege
Nmesikitika.. Niliwapenda toka kwenye mr n mrs smith.. Kama waliligundua hilo wakawa pamoja.. Nilikuwa naichukulia ndio wanandoa bora pemben ya beckham na poshJamani hawa mbona walikuwa wanani inspire mimi nini tena kimewapata[emoji134]...[emoji22][emoji22]
Tulia mzee wa cc, picha sio kipande changu..Weka picha
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Me sio Mkuu......humu kwenye makapuku hakuna wakuu.....Mkuu ni Mungu pekee......kwahiyo kuwa free
[emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Nakuona
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Itonjanda, ndani ndani huko, kilimahewa..[emoji15] [emoji15] [emoji15] wa wapi huyoo
Baelezee jiraniUmempata wapi jirani yangu,anatoa heshima kwa kupiga magoti, wasukuma wazuri, huwezi kukuta mnyaki anapiga magoti kama heshima
Basi we nomaa[emoji23] [emoji23] basi kama umemzidi miaka 20 Kweli we ni mtoto wa juzii maana nimekuacha mbalii[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kwa uchochezi, unawajalibu watu wakati hawajalibiwi[emoji15] nitafungwa kvp?
Inasikitisha sana..watu kuishi miaka yote hiyo halafu kuachana uzeenNmesikitika.. Niliwapenda toka kwenye mr n mrs smith.. Kama waliligundua hilo wakawa pamoja.. Nilikuwa naichukulia ndio wanandoa bora pemben ya beckham na posh