sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Nani kasema sasaMe Sijasema![]()
![]()
Nani kasema sasaMe Sijasema![]()
![]()
Huyo atakuwa lizaboniKuna mjeda humu![]()
![]()
Leo ni siku ya kimataifa ya amani.
UmekosaaHuyo atakuwa lizaboni
Visiwa vya shelisheli.. Huko kila baada ya nyumba ni sheli, kuna sheli nyingi kichizi.
Bitoz leo sitak uboya.. Leo aman tuu, ukinikosea leo malipo kesho, ntakukata masikio yako hayo km upawa wa gengeni.Leo ni siku ya kimataifa ya amani.
Nitajie mkuuUmekosaa
Afternoon JiraniMorning all
Babu yako ndo a namiliki sheli ya mafuta ya taa na maweseVisiwa vya shelisheli.. Huko kila baada ya nyumba ni sheli, kuna sheli nyingi kichizi.
Morning boiMorning
Mambo vipi we ndeziBitoz leo sitak uboya.. Leo aman tuu, ukinikosea leo malipo kesho, ntakukata masikio yako hayo km upawa wa gengeni.

Afternoon....Morning
Morning mumMorning boi
AfternoonMorning
Powa mama yanguAfternoon....
Umeanza basi we domo bwaku..Babu yako ndo a namiliki sheli ya mafuta ya taa na mawese
![]()
![]()
![]()
........

Hainaga bure kwenye ndegeWakati linaanza Treni tulipanda bure..
Tulipozindua Daraja la kigamboni tulipita bure...
Uwanja wa Taifa tuliuzindua bure...
Mabasi ya Mwendokasi tulipanda bure...
Je, je, je, je, Na hii ndege mpya nayo
TUTAPANDA BURE KWA MUDA GANI...??!
![]()