Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
[emoji23][emoji23]Asante sana mussolin
Ila bajaji imeleta mjadala sana humu jf, post zake zinachekesha sana
Eti inatumia masa 15 kufika mwanza
[emoji23][emoji23]Asante sana mussolin
Ila bajaji imeleta mjadala sana humu jf, post zake zinachekesha sana
Eti inatumia masa 15 kufika mwanza
Baba wa taifa analenga mulemule chezea wewe!!Huwa wanaangalia, mbona itv siku hizi hawatoi wosia wa Baba wa Taifa?
Yaani huku ni kuzuri sana kwa kujificha, ni kama kwenda bagamoyo na demu wako, mnafyatuana mpaka hamu inawaishia teh teh teh tehNa hivi sisi ni Makapuku![emoji4] no one cares, they don't give a shit about us anyway!!...yani huku KF ni zaidi ya chimbo.
Tatizo ni mafuta au???Hawawezi hata kidogo
SanaaNaona uko na furaha[emoji4] [emoji4]
Uko poa eeh?Morning mum
Me sio Mkuu......humu kwenye makapuku hakuna wakuu.....Mkuu ni Mungu pekee......kwahiyo kuwa freeSawa mkuu, teh teh teh teh
Kwani we mkubwaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kumbe kadogo
Pouwa mama yanguUko poa eeh?
Salama tu...kwema hapoZa mchana jirani
Amenizidi kidogo lakini.Kama wewe tu, au wewe mkubwa
Hahahahaha, teh teh teh teh teh, kwi kwi kwi kwiMe sio Mkuu......humu kwenye makapuku hakuna wakuu.....Mkuu ni Mungu pekee......kwahiyo kuwa free
Mkwepa kodi a.k.a mzee wa kufyatua![emoji23][emoji23]Yaani huku ni kuzuri sana kwa kujificha, ni kama kwenda bagamoyo na demu wako, mnafyatuana mpaka hamu inawaishia teh teh teh teh
Ndio hivyo......makapuku ni peace and love[emoji111]Hahahahaha, teh teh teh teh teh, kwi kwi kwi kwi
Nimemzidi miaka 20 mbele so piga hesabu [emoji85]Kwani we mkubwaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
GoodPouwa mama yangu
Nikwelii???[emoji116] [emoji116] [emoji116]Nimemzidi miaka 20 mbele so piga hesabu [emoji85]
Hayo ni maandishi tu hata kwenye kanga yapo...usiyaamini. Sacajo acha nongwa[emoji2][emoji2]Nikwelii???[emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Nakuona
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........