Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Unakutana na kidemu ndani ya miezi miwili kanataka kaje waona wazazi wako. Dada, mi mwenyewe nlikaa miezi 9 tumboni kabla sijawaona wazazi wangu mwenyewe, usiniletee mapenzi ya Mwendokasi.
Sipendagi ujinga mimi
Kwi kwi kwi kwiSacajo ndio mjeda humuhuwa sitaki uchochezii
Kuwa makiniKwi kwi kwi kwi
Asante kwa kutuhabarisha my only TwinView attachment 404077View attachment 404078View attachment 404079
Kwa hisani ya Kilimanjaro Queens sina la ziada kutoka kwenye magazeti yetu ya Leo.
Naitwa Jimena Jimenes
Nawatakia siku njema na mafanikio tele
Adios
Sawa mkuu, teh teh teh tehKuwa makini
Jamani hawa mbona walikuwa wanani inspire mimi nini tena kimewapata
Hadithi ya Muntary na Mwalimu wa English:
_TEACHER_ : Who is a pharmacist?
_MUNTARY_ :(raised up his hand.)
TEACHER: So it’s only _Muntary_ that can tell who a pharmacist is in this class? Thus, no body else to answer the question except _Muntary_..?
(There was no reply from the students)
_TEACHER_: Ok. now _Muntary_, chukua hii fimbo, charaza ****** hawa wote kila mmoja viboko 3.
_Muntary_ (akiwa amevimba kichwa, akawatwanga viboko vitatu vitatu vya kushiba darasa nzima)
TEACHER: Now, my dear _Muntary_ tell this dumb students, who a pharmacist is…?
MUNTARY: Yes, sir. a Pharmacist is a farmer who assists people.
_Muntary_ sasa hivi amelazwa taasisi ya mifupa
Hawawezi hata kidogoWafanye kwelii
Apumzike kwa amani1976 - Orlando Letelier anauwawa jijini Washington D.C
Alikuwa ni sehemu ya utawala wa Rais wa Chile aliyepinduliwa Salvador Allende na Dikteta Augusto Pinochet.
Aliuwawa kwa kutegeshewa bomu kwenye gari.
Hawa watu ni tishio2013 - Al Shabab wanavamia na kushambulia Maduka ya Westgate huko Nairobi nchini Kenya.
Weka pichaVisiwa vya shelisheli.. Huko kila baada ya nyumba ni sheli, kuna sheli nyingi kichizi.
Kumbe kadogo1989 - Jason Derulo anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Za mchana jiraniAfternoon Jirani
Syria sidhani kama wanaitambua hii siku...Leo ni siku ya kimataifa ya amani.
Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bajaj mpya ya Air Tanzania, tukutane kesho.
Bye
Ruksa kabisaHaiwezekani...ntakata rufaa
Na hivi sisi ni Makapuku!Mkuu kwani huwa wanaangalia hili jukwaa, nadhani mara nyingi wana kuwa kule kwenye majukwaa ya siasa na habari mchanganyiko
Kama wewe tu, au wewe mkubwaKumbe kadogo