Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_2016-09-21-09-50-21.png
 
Unakutana na kidemu ndani ya miezi miwili kanataka kaje waona wazazi wako. Dada, mi mwenyewe nlikaa miezi 9 tumboni kabla sijawaona wazazi wangu mwenyewe, usiniletee mapenzi ya Mwendokasi.

Sipendagi ujinga mimi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
UTAMU WA NYUMBA ZA KUPANGA!

Jana neighbor yangu alikuja
akaniambia nipunguze sauti ya radio
anataka kulala.
Leo anapika chapati na mimi
nmemwambia apunguze harufu ya
chapati nataka kula ugali. sipendi ujinga ujue.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hadithi ya Muntary na Mwalimu wa English:
_TEACHER_ : Who is a pharmacist?

_MUNTARY_ :[emoji115] (raised up his hand.)
TEACHER: So it’s only _Muntary_ that can tell who a pharmacist is in this class? Thus, no body else to answer the question except _Muntary_..?

(There was no reply from the students)

_TEACHER_: Ok. now _Muntary_, chukua hii fimbo, charaza vilaza hawa wote kila mmoja viboko 3.

_Muntary_ (akiwa amevimba kichwa, akawatwanga viboko vitatu vitatu vya kushiba darasa nzima)

TEACHER: Now, my dear _Muntary_ tell this dumb students, who a pharmacist is…?

MUNTARY: Yes, sir. a Pharmacist is a farmer who assists people.

_Muntary_ sasa hivi amelazwa taasisi ya mifupa [emoji22][emoji22]
 
UTAMU WA NYUMBA ZA KUPANGA!

Jana neighbor yangu alikuja
akaniambia nipunguze sauti ya radio
anataka kulala.
Leo anapika chapati na mimi
nmemwambia apunguze harufu ya
chapati nataka kula ugali. sipendi ujinga ujue.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwi kwi kwi kwi kwi
 
Back
Top Bottom