Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Asante mwenyekiti, na iwe njema kwako piaAhsaante Bibie...uwe na siku njema.
Asante mwenyekiti, na iwe njema kwako piaAhsaante Bibie...uwe na siku njema.
Kwani amechukuliwa???[emoji15][emoji134] [emoji134] [emoji134]
Tuachieni Pogba wetu jamani
Namkubali sana huyu Binti wa kipindi hyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]UTAMU WA NYUMBA ZA KUPANGA!
Jana neighbor yangu alikuja akaniambia nipunguze sauti ya radio anataka kulala. Leo anapika chapati na mimi nmemwambia apunguze harufu ya chapati nataka kula ugali. sipendi ujinga ujue.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AmenAsante mwenyekiti, na iwe njema kwako pia
Leo katika Historia:
1942 - Huko katika eneo la Dunaivtsi nchini Poland, Jeshi la Nazi laua Wayahudi takribani 2600.
1964 - Malta yapata Uhuru wake toka kwa United Kingdom.
1971 - Bahrain na Qatar zajiunga Umoja wa Mataifa.
Jambo wewe??Morning all