sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
AtujamboWakuu kuna mpya gani maana nilikuwa nje ya network kwa muda wa masaa mengi, natumaini hamjambo
AtujamboWakuu kuna mpya gani maana nilikuwa nje ya network kwa muda wa masaa mengi, natumaini hamjambo
1976 - Nchi ya Shelisheli nayo yajiunga Umoja wa Mataifa.
Kwa siku mbiliWakati linaanza Treni tulipanda bure..
Tulipozindua Daraja la kigamboni tulipita bure...
Uwanja wa Taifa tuliuzindua bure...
Mabasi ya Mwendokasi tulipanda bure...
Je, je, je, je, Na hii ndege mpya nayo
TUTAPANDA BURE KWA MUDA GANI...??!
![]()

1984 - Brunei yajiunga Umoja wa Mataifa.
Ni nchi ambayo ina utajiri na kuna starehe nyingi sana ambapo wakazi wa Nchi muda mwingi wanautumia kula bata kuliko kazi.
1976 - Orlando Letelier anauwawa jijini Washington D.C
Alikuwa ni sehemu ya utawala wa Rais wa Chile aliyepinduliwa Salvador Allende na Dikteta Augusto Pinochet.
Aliuwawa kwa kutegeshewa bomu kwenye gari.
Kapangaboi ketuLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bajaj mpya ya Air Tanzania, tukutane kesho.
Bye
Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bajaj mpya ya Air Tanzania, tukutane kesho.
Bye
huogopi kuambiwa unaleta Uchochezi???....thanks for leo katika HistoriaJambo kabisaJambo wewe??
Pia mzee mafujo1979 - Richard Dunne anazaliwa.
Ni beki wa zamani wa Man city na timu ya taifa ya Ireland.
Anasifika kwa kuwa beki aliyejifunga magoli mengi zaidi kwenye EPL.
ThubutuKwa siku mbili![]()
![]()
Shukran sana JJ kwa magazeti na udhamini wako mzuriiView attachment 404077View attachment 404078View attachment 404079
Kwa hisani ya Kilimanjaro Queens sina la ziada kutoka kwenye magazeti yetu ya Leo.
Naitwa Jimena Jimenes
Nawatakia siku njema na mafanikio tele
Adios
Mkuu kwani huwa wanaangalia hili jukwaa, nadhani mara nyingi wana kuwa kule kwenye majukwaa ya siasa na habari mchanganyiko![]()
huogopi kuambi a Uchochezi???....thanks for leo katika Historia
POGBA ni tusi kubwa sanaaA man was quarreling with his wife and this is what ensued between them
Man: Ugly slut
Wife: Lazy idiot
Man: Stupid woman
Wife: Pogba
The woman was buried yesterday
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bajaji wakati umeianzishia uzi kule!Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bajaj mpya ya Air Tanzania, tukutane kesho.
Bye