Makapuku Forum

Makapuku Forum

*NUKUU YA LEO......*

```mwanaume asiye na mchepuko ni sawa na taifa lisilokuwa na chama cha upinzani ......```

na _mwanamke kuwa na mchepuko ni sawa na taifa kuwa na kikundi cha waasi kinachoendesha vita ya wenyewe kwa wenyewe_
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahahahahahahaaaa
 
Wakati linaanza Treni tulipanda bure..

Tulipozindua Daraja la kigamboni tulipita bure...

Uwanja wa Taifa tuliuzindua bure...

Mabasi ya Mwendokasi tulipanda bure...


Je, je, je, je, Na hii ndege mpya nayo

TUTAPANDA BURE KWA MUDA GANI...??!
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Back
Top Bottom