Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Zinavunjaga mbavuuuNitakuwa nawaletea mmojammoja hadi Prof Ndumilakuwili mpiga dili na Pimbi na harakati zake za mademu na wengine
![]()
![]()
![]()
............
Zinavunjaga mbavuuuNitakuwa nawaletea mmojammoja hadi Prof Ndumilakuwili mpiga dili na Pimbi na harakati zake za mademu na wengine
![]()
![]()
![]()
............
Kuzitafuta sio kazi ya kitoto
Zinavunjaga mbavuuu
Kweli mkuu...Kuzitafuta sio kazi ya kitoto
..........
Unaweza kuzipata lakini vipi cha kidogo Mara nyingine maandishi hayasomekiKweli mkuu...
basi sawa mkuu...usichoke kutafuta!Unaweza kuzipata lakini vipi cha kidogo Mara nyingine maandishi hayasomeki
Nitajitahidi kuzileta
.................
Bila kusahau* *KIFIMBO CHEZA NA WACHAFUZI WA LUGHA**Nitakuwa nawaletea mmojammoja hadi Prof Ndumilakuwili mpiga dili na Pimbi na harakati zake za mademu na wengine
![]()
![]()
![]()
............
Timu zao tu mimi huwa zinanikosha sana, Enzi hizo tupo kijijini tunachangishana pesa ya kununua gazeti la saniHalafu kuna mtu wa kuitwa Lodi Lofa
Umepatikanaji wake ni mgumu kweliKuzitafuta sio kazi ya kitoto
..........
Born Town v Bush StarsTimu zao tu mimi huwa zinanikosha sana, Enzi hizo tupo kijijini tunachangishana pesa ya kununua gazeti la sani
Daaah.....nilikuwa bize na shughuli za hapa uraianiUmepotelea wapi leo
Wazma lakini humu???Umepotelea wapi leo
Competition ni kubwa sanaaJitahidi uchukue 110k
Poa......mwalimu uliekimbia ualimuUnaweza kuzipata lakini vipi cha kidogo Mara nyingine maandishi hayasomeki
Nitajitahidi kuzileta
.................

Mjini kaziDaaah.....nilikuwa bize na shughuli za hapa uraiani
Wazima kabisaWazma lakini humu???
Unajichanganya tu humo humoCompetition ni kubwa sanaa