HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Chantee😛View attachment 339024
morning everybody,,,,kama unakulaga kwa watu basi karibu
Chantee😛View attachment 339024
morning everybody,,,,kama unakulaga kwa watu basi karibu
Mie nina bisu la kimasai mbona hapa kiunoni lakini sipati mrembo.au nyie hivo visu vyenu mmenolea tupaMwenye kisu kikali ndo mla nyama, kijana changamka

Mkuu hapa ni self-serviceMe mbona sipati LIKE..?
Au sio kapuku?
Nakupenda sana mpenzi wangu...Kwanza asubuhi yako ya leo imekaaje? Bila wewe mi si kitu..Mornie bae![]()
Poa jirani.. Karibu tena jirani jumba la kujiliwazaSwalamaa kabisaaa
HahahaHahahah HB umetisha sana..
Barabara hazipitiki huku kwetuLeo ametukomesha.
Kweli kabisa,fanya mpango basi liwe laini kidogo.Ni kweli naona hadi unasema mdimoni!
Hahahaaa kweli asee... Unaweza kuta hawa watoto wazuri tunaowapenda humu wengine ni baba zetu au wajomba zetu![]()
![]()
okay sir, unajua hapa JF mambo yamekaa kushotokulia.
Kwani we ujui sababu za kumfanya awe sukari.... Remy ongala nae si alioaga mzungueHahha mkuu hii inferiority complex asee... Mbona Diamondi wanasema hana mvuto lakin ndo sukari ya warembo?
Inaonesha wewe ni mtaalam sanaaa wa kuchepukaHIZI NI BAADHI YA TABIA ZA WACHEPUKAJI!
Hachezi mbali na cm yake yuko nayo kila wakati
Text za inbox na alizotuma hufutwa kila wakati
Ukimuomba cm yake ghafula atakwambia hebu kwanza.....
Haweki mlio kwenye cm yake inaita kwa vibration
Namba nyingi haja save na kama amesave bas huwez hisi chochote kibaya kulingana na majina anayosave
Kuna cm nyingine hapokei hata iweje ukiimuliza anakwambia aaah huyo msumbufu tu muache!........
Anapenda kutumia SMS zaidi
Anapenda password na anabadili mara kwa Mara
Akiazima cm yako na kutumia akimaliza hufuta kila kit
Muda wote yuko na cm yake hakai nayo mbali hadi bafuni wengine huenda nazo
Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu cm, anajishitukia
Akiwa anachati anakuangalia Mara kwa Mara kiwiz wizi so wewe utajua anachek program za kawaida tu kwenye cm
Hawez kukuweka kwenye profile yake akikuweka humaliz Masaa mengi anakutoa!!
SI HUKUMU MTU na wala hiyo so kaz yangu kuhuku! Lakini tuwe WAAMANIFU KWA WENZI WETU DAIMA!!!
Mahaba mahabaniNakupenda sana mpenzi wangu...Kwanza asubuhi yako ya leo imekaaje? Bila wewe mi si kitu..
Usijali, wewe upo kwenye kundi la Makapuku wengine wote.Mbona mimi sijatajwa hapoo![]()
![]()
![]()
Dah hii baby wangu hawezi kula yeye kazoea kula Sambusa asubuhi na Egg chop akila hii lazima aumwe na tumbo amaizing ila mimi ntapiga mkuu..View attachment 339024
morning everybody,,,,kama unakulaga kwa watu basi karibu
Naomba uniite na mimi hivo angalau kwa leo tuu na nafsi yangu itaponaMornie bae![]()

Shemeji ndugu yako yuko wapi?Shemeji kwanza kama kuna malalamiko yeyote uliletewa yatakua yamesababishwa na hii mvua nilitoka nikijua ntawai kurudi nikajikuta nimekwama...Ila nimesharudi na kila kitu naweka sawa sasa..Ama kuna mengine tena shemeji?
Labda kama yatapita anganiBarabara hazipitiki huku kwetu
Nitatumia fagioLabda kama yatapita angani