sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Ha haaa.... Unafanya kazi ya kusavusha watu... Mtoni?Acha zinyeshe mkuu maana hazina mipaka....wengine ndo zinatufanya tuwe na uwezo hata wa kutupia comment na kushare na makapuku wenzetu!
Ha haaa.... Unafanya kazi ya kusavusha watu... Mtoni?Acha zinyeshe mkuu maana hazina mipaka....wengine ndo zinatufanya tuwe na uwezo hata wa kutupia comment na kushare na makapuku wenzetu!
Mmeanza eeh![]()
![]()
una utani na Th Name
Nazidi kukupenda my dear...Na usisite kuniita kwa yeyote atakaye onyesha anakusumbua ila sababu nimejaliwa kupata mpenzi mrembo sana naamini utasumbuliwa ila waeleze kuwa ushawaiwa na Manuu..
Hivi mshana Jr kashatolewa huku anisaidie mdogo wake kukuloga usipate likes huku.ushawahi kutolewa hata kabusha kadogodogo kama tikiti kijana
Nilidhani inakuongezea hamasa ya kilimo kumbe ni nyege*Mi inaniongezea genye tu kwa kweli
Namiliki mtumbwi mkuu na mto umefurika .....huoni kama ni fursa hio?Ha haaa.... Unafanya kazi ya kusavusha watu... Mtoni?
Ha haaa Siku hizi kapuku kazi yetu kuwapindua tuuuMhh lara1 na kapuku,.. naisubiria hii
ivi wachina hawazinunui kweliNilidhani inakuongezea hamasa ya kilimo kumbe ni nyege*

Siyo mimi mkuu.Mmeanza eeh
Mjini ntalima wap bro? lami na pavements kila mahaliNilidhani inakuongezea hamasa ya kilimo kumbe ni nyege*
Nani sasaSiyo mimi mkuu.
Hhahaha ataelewa tu mdogo mdogo..Nimeiona hiyo. Hata Jana alijifanya ana pesa ili ampe baby wangu. Akajibiwa hizo hela zako peleka kijijini kwenu wana shida sana
Nilisikia huko Tanga wachina wamefungua kiwanda cha kununua Nyege.ivi wachina hawazinunui kweli![]()
Lazima hiyo. Anajifanya shababi kwa wake za watuHhahaha ataelewa tu mdogo mdogo..
Akuje tu maana hali yangu si nzuri kabisa.Popote ulipo shem Nahrene unahitajika huku youngblood hayuko vizuri mpaka uonekane hapa please...