Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
List ni ndefu sana,sema tu wengine hapa wanajifariji!Inabidi nifanye upelelezi kama ni kweli
List ni ndefu sana,sema tu wengine hapa wanajifariji!Inabidi nifanye upelelezi kama ni kweli
Habari ndiyo hiyo.Kwahiyo unataka kuniambia eden kimario anachukua mke wa MTU au
Wewe sio single Si unachepuka na linamo!!!!Naomba huo upelelezi uanzie kwangu![]()
![]()
![]()
Wenye wake zetu tumeshakustukia, acha huo mchezo.![]()
![]()
inawezekana kuwa kwel mkuu..
ila kesho nimepanga kutongoza mademu wote humu huenda nikaambulia kitu, maana youngblood amenizidi kete aisee
Mkuu ww si ushaachwa tulia nasisi tu jaribu bahati. Halaf inaonyesha unampendea baridBeib sijacheat ila ni haya majukumu ya kusimamia mauhisano na kufanya usajili Wa couple humu...
Anyway. I love you babe.....
Nahii barid....

Sawa ngoja nianzie hapaNaomba huo upelelezi uanzie kwangu![]()
![]()
![]()
Naona yamekukuta.Beib sijacheat ila ni haya majukumu ya kusimamia mauhisano na kufanya usajili Wa couple humu...
Anyway. I love you babe.....
Nahii barid....
Ngoja nilinde Mali yanguHabari ndiyo hiyo.
Abiria chunga mzigo wako.
Yaaa ukianzia hapa na ukafanikiwa utajuta kuchelewa karibu sana kwa upande huu cute bSawa ngoja nianzie hapa
Huyu mzee anatia huruma.Wenye wake zetu tumeshakustukia, acha huo mchezo.
Utapoteza uhai....Mkuu mbona nyundo mapanga na bind uko?
Wakina nani hao wanajifariji?List ni ndefu sana,sema tu wengine hapa wanajifariji!
Tena inazidi kuchanja mbuga.ngoma inatoboa hii
Usicheze mbali mkuu.Ngoja nilinde Mali yangu
Alisahau kua ukishikwa shikamanaNaona yamekukuta.
Ha Haaaa..... Msalimu lizzyNgoja nilinde Mali yangu