sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
mmhh we kila kitu unackia tu,,,eti ata nahrene unasikia tu kua ni babe akoNilisikia huko Tanga wachina wamefungua kiwanda cha kununua Nyege.

mmhh we kila kitu unackia tu,,,eti ata nahrene unasikia tu kua ni babe akoNilisikia huko Tanga wachina wamefungua kiwanda cha kununua Nyege.

hatoweza, yaani huku hata nisipoandika chochote watu wanapenda, ngoja uone hiiHivi mshana Jr kashatolewa huku anisaidie mdogo wake kukuloga usipate likes huku.
Swalama??ivi wachina hawazinunui kweli![]()
Hii spidi ni kali... Makapuku tuna platform sasaHa haaa Siku hizi kapuku kazi yetu kuwapindua tuuu
Mjini ntalima wap bro? lami na pavements kila mahali
unalima hata kabustan ka mchicha.Mmmh mvua tu au kuna kingineMi inaniongezea genye tu kwa kweli
Ujasiri wa kuwadai nauli utatoka wapi!
Mkuu acha acha ubinafsi,.. Wanasema kizuri kula na ndugu yakoLeo Kila MTU na MTU wake kama huna pole sana. lizziebettie wangu njoo baby
Ni huyu kirrchhoff.Nani sasa
Mbona umekosea jina
Na nimpa kazi wife na yeye ahakikishe anamleta huku so naamin soon atamleta hapa...Akuje tu maana hali yangu si nzuri kabisa.
Utakuwa uko kwenye sayari ya Nibiru.Wapendwa makapuku nawatakia siku njema ni time ya kulala huku kwetu sitimbi ndio mda wa kulala huu
We take over jf.... Bado kuinunuaa jf yoteHii spidi ni kali... Makapuku tuna platform sasa
Hiyo misemo ndo inawaponza nyie. Kila MTU na wake kama huna lala na jiweMkuu acha acha ubinafsi,.. Wanasema kizuri kula na ndugu yako
Kilimo cha kisasa kabisa hiki..