manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
PM haitakiwi nitoe mwanya hata wa second 1..Mahaba mahabani
PM haitakiwi nitoe mwanya hata wa second 1..Mahaba mahabani
Nipo jirani...Poa jirani.. Karibu tena jirani jumba la kujiliwaza
Kwahyo unataka kusenma kibajajitz hana mkwanja sio au labda sio maarufu?Kwani we ujui sababu za kumfanya awe sukari.... Remy ongala nae si alioaga mzungue
Kweli kabisa lazima uchue tahadhari unawezakuta amazing ni HeHahahaaa kweli asee... Unaweza kuta hawa watoto wazuri tunaowapenda humu wengine ni baba zetu au wajomba zetu
Hiyo inaitwa man to manPM haitakiwi nitoe mwanya hata wa second 1..
Nimeamka salama babyNakupenda sana mpenzi wangu...Kwanza asubuhi yako ya leo imekaaje? Bila wewe mi si kitu..
Mungu azidi kutupa Neema.Hamna noma mkuu,kikubwa ni uzima tu
Hahaha,utasubiri sana,na badoNaomba uniite na mimi hivo angalau kwa leo tuu na nafsi yangu itapona![]()
![]()
![]()
HIZI NI BAADHI YA TABIA ZA WACHEPUKAJI!
Hachezi mbali na cm yake yuko nayo kila wakati
Text za inbox na alizotuma hufutwa kila wakati
Ukimuomba cm yake ghafula atakwambia hebu kwanza.....
Haweki mlio kwenye cm yake inaita kwa vibration
Namba nyingi haja save na kama amesave bas huwez hisi chochote kibaya kulingana na majina anayosave
Kuna cm nyingine hapokei hata iweje ukiimuliza anakwambia aaah huyo msumbufu tu muache!........
Anapenda kutumia SMS zaidi
Anapenda password na anabadili mara kwa Mara
Akiazima cm yako na kutumia akimaliza hufuta kila kit
Muda wote yuko na cm yake hakai nayo mbali hadi bafuni wengine huenda nazo
Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu cm, anajishitukia
Akiwa anachati anakuangalia Mara kwa Mara kiwiz wizi so wewe utajua anachek program za kawaida tu kwenye cm
Hawez kukuweka kwenye profile yake akikuweka humaliz Masaa mengi anakutoa!!
SI HUKUMU MTU na wala hiyo so kaz yangu kuhuku! Lakini tuwe WAAMANIFU KWA WENZI WETU DAIMA!!!
kuna jamaa yangu mmoja aliwekwa dp wasap sa sijui mtandao ulizingua akashindwa kumtoa akaamua kuandika R.I.P brother w' ill miss uNimefurahi kwani umegundua mwenyewe yale niliyokuwa nataka kukutahadharisha mpenzi..Inaonesha wewe ni mtaalam sanaaa wa kuchepuka
Mimi ndo balaa yani ratio imekaa vibaya sanaLeo nina shida ya kuongeza post tu.. Like zinazidi post kwangu.. Ila mkinipa sikatai
Ana pesa ndio maana sukari ya warembo sasa mimi huku sitimbi hadi nisubiri matikiti yangu yakomae ndio nihonge inahitaji mrembo mwenye roho ya ustahimilivu.Hahha mkuu hii inferiority complex asee... Mbona Diamondi wanasema hana mvuto lakin ndo sukari ya warembo?
Kama mshana jrNitatumia fagio
Hahahahaha sawa mkuuMkuu tafuta original copy, hiyo unayoona hapo ni photocopy.
Kama kawaida natupia mimi.