Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG_20160920_155556.jpeg
 
Yani mke wako mwenyewe ndani...wewe ndiye mmiliki halali...unamfahamu in and out....aibwe, ajiibe, aibiwe....usijue tu?!! [emoji134][emoji134][emoji134] ni hatari basi. [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Anaibiwa kabisa then anarudi kama alivyoenda anakukuta siku hiyo umechoma na michakariko unabaki kumgusagusa tu wwngine wameiba
 
Lakini mke ni wako kweli unalala naye ndani na unamfahamu vizur arudi kwako usijue tu kama amepiga shoo tofauti nje? come on guys!!
Mh! Em niambie nagunduaje ikiwa atarudi smart kama alivyoondoka? Na usisahau ile organ ni kama elastic material huwa inarudi kwenye original size baada ya tendo ama ntapimaje? [emoji4][emoji4][emoji85][emoji85]
 
Back
Top Bottom