briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Na sio kuibiwa tu, mke anaweza akajiiba mwenyewe piaMke kuibiwa rahisi sana kuliko gari tena waweza usigundue
Na sio kuibiwa tu, mke anaweza akajiiba mwenyewe piaMke kuibiwa rahisi sana kuliko gari tena waweza usigundue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.
Binti wa Kizungu: Baby you look nice and fresh.
Binti wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kali eeh?!! [emoji134][emoji134]Mweh! mweh! mweh![emoji134]
Hebu muulize Sweetiepie aweza kuwa na majibuMke Anaibiwaje?
Kuna wengine wapo makini sanaKwanini usigundue
Hebu jibu kwaniniKwanini usigundue
Mpotezee anakuzingua tu[emoji16]Eti, ngoja niende kwenye jukwaa la elimu
Hajui, kasema ujibu nae ajifunzeHebu muulize Sweetiepie aweza kuwa na majibu
SawaMweh! mweh! mweh![emoji134]
Sidhani kama atajibu
Yeye huyo ndio anafaa sasa, ni kijana mwema sana kwakweli...sahivi yuko single.
Mhhhh si ulisema mabinti wenzangu? nkajua we ni dada...lakini mbona humu wanakuja wanaume tu!!!??[emoji15][emoji15][emoji15]. Bitoz badili jina nakwambia wadada wamwagike humu hiyo Kapuku inawatisha mabinti nilisema mimi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ataibwa na kurudi kama kawaidaSidhani kama atajibu
Tuletee picha za Asia fastaHebu jibu kwanini
Hii ni zaidi ya wiziNa sio kuibiwa tu, mke anaweza akajiiba mwenyewe pia
Yani mke wako mwenyewe ndani...wewe ndiye mmiliki halali...unamfahamu in and out....aibwe, ajiibe, aibiwe....usijue tu?!! [emoji134][emoji134][emoji134] ni hatari basi. [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hebu jibu kwanini
Umakini kiaje? hamna kitu kama mjanja utajua tu.Kuna wengine wapo makini sana