Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,841 werrason said: View attachment 403424 Click to expand... Hii kali naona lugha gongana
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,842 Mussolin5 said: Leo katika Historia Orijino: 1979 - Kunatokea mapinduzi ya Kijeshi nchini Afrika ya Kati na kuuondoa utawala wa Bokassa wa Kwanza. Click to expand... Huyu Bokassa alikuwa nomaa
Mussolin5 said: Leo katika Historia Orijino: 1979 - Kunatokea mapinduzi ya Kijeshi nchini Afrika ya Kati na kuuondoa utawala wa Bokassa wa Kwanza. Click to expand... Huyu Bokassa alikuwa nomaa
N nsekwa JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 939 Reaction score 1,404 Sep 20, 2016 #108,843 Habari za humu ndani
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,844 Mussolin5 said: 1984 - Bomu lililotegwa katika Ubalozi wa Marekani huko Beirut nchini Lebanon lalipuka na kuua watu 22. Click to expand... Marekani wataisoma
Mussolin5 said: 1984 - Bomu lililotegwa katika Ubalozi wa Marekani huko Beirut nchini Lebanon lalipuka na kuua watu 22. Click to expand... Marekani wataisoma
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,845 Mussolin5 said: 2000 - Jengo la Shirika la Ujasusi la Nchini Uingereza ( MI6 ) lashambuliwa na watu ambao mpaka leo hawajajulikana. Click to expand... Na hawatowafahamu.
Mussolin5 said: 2000 - Jengo la Shirika la Ujasusi la Nchini Uingereza ( MI6 ) lashambuliwa na watu ambao mpaka leo hawajajulikana. Click to expand... Na hawatowafahamu.
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,946 Sep 20, 2016 #108,846 Dah!!! ndio maana huwa siangalii bongo movie,eti kuna kipande MTU anawaza miaka 10 iliyopita alaf kwenye ukuta kuna picha ya rais Magufuli Sipendi mambo ya kijinga mimi!!!
Dah!!! ndio maana huwa siangalii bongo movie,eti kuna kipande MTU anawaza miaka 10 iliyopita alaf kwenye ukuta kuna picha ya rais Magufuli Sipendi mambo ya kijinga mimi!!!
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,847 Mussolin5 said: 2001 - Rais George W. Bush wa Marekani analitangazia bunge la nchi hiyo juu ya vita dhidi ya Ugaidi baada ya shambulio la kigaidi la September 11. Click to expand... September 11 iliwaweza
Mussolin5 said: 2001 - Rais George W. Bush wa Marekani analitangazia bunge la nchi hiyo juu ya vita dhidi ya Ugaidi baada ya shambulio la kigaidi la September 11. Click to expand... September 11 iliwaweza
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,946 Sep 20, 2016 #108,848 nsekwa said: Habari za humu ndani Click to expand... Shwari, adje?
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,849 Mussolin5 said: 1967 - Mapacha Gunnar Nelson na Matthew Nelson Wanazaliwa. Ni wanamuziki toka nchini Marekani. Click to expand... Vipaji hivyo mweeeeee
Mussolin5 said: 1967 - Mapacha Gunnar Nelson na Matthew Nelson Wanazaliwa. Ni wanamuziki toka nchini Marekani. Click to expand... Vipaji hivyo mweeeeee
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,850 Mussolin5 said: Leo Katika Historia Orijino: Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mzee wa Mapichapicha a.k.a Kubwa lao tukutane tena Kesho. Bye Click to expand... Thanks mwenye chair.
Mussolin5 said: Leo Katika Historia Orijino: Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mzee wa Mapichapicha a.k.a Kubwa lao tukutane tena Kesho. Bye Click to expand... Thanks mwenye chair.
N nsekwa JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 939 Reaction score 1,404 Sep 20, 2016 #108,851 werrason said: Shwari, adje? Click to expand... Adje sijaelewa
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,852 shululu said: Karibu sana, kasome page no 3 Click to expand... Aaah nimecheka et malaika asiyejaribiwa!!
shululu said: Karibu sana, kasome page no 3 Click to expand... Aaah nimecheka et malaika asiyejaribiwa!!
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,853 MKWEPA KODI said: Mmmh hii forum ya makapuku ina mambo mazuri sana, itabidi nihamie huku maana kule habari kuu ni malaika asiyejaribiwa tu, mambo yote yapo huku Click to expand... Malaika aishie duniani
MKWEPA KODI said: Mmmh hii forum ya makapuku ina mambo mazuri sana, itabidi nihamie huku maana kule habari kuu ni malaika asiyejaribiwa tu, mambo yote yapo huku Click to expand... Malaika aishie duniani
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,854 werrason said: Mambo Sukarii....naona Sherii namutafuta wewe Papaa, nenda nae Click to expand...
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,855 radika said: Jamani shezni yupo mbona huwa simuoni Szczesny Click to expand... Hayupo tena.
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,856 MKWEPA KODI said: Mkuu nimehamia kabisa, mnitafutie na mchumba, najua humu kuna mabinti makapuku kama mimi Click to expand... Kama wewe ni binti utapata tu...subiri uone.
MKWEPA KODI said: Mkuu nimehamia kabisa, mnitafutie na mchumba, najua humu kuna mabinti makapuku kama mimi Click to expand... Kama wewe ni binti utapata tu...subiri uone.
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,857 QUIGLEY said: Chukua huyu werrason naye anatafuta, usiogope jina Click to expand...
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 20, 2016 #108,858 QUIGLEY said: Chukua huyu werrason naye anatafuta, usiogope jina Click to expand... Kwanini umsakizie Werrason wakati we mwenyewe uko singo
QUIGLEY said: Chukua huyu werrason naye anatafuta, usiogope jina Click to expand... Kwanini umsakizie Werrason wakati we mwenyewe uko singo
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,946 Sep 20, 2016 #108,859 Sweetiepie said: Click to expand...
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,946 Sep 20, 2016 #108,860 Sweetiepie said: Kama wewe ni binti utapata tu...subiri uone. Click to expand...