Mtoto : baba Leo wanaocheza akina nani ??
Baba : man united na Watford.
Mtoto: oyooo .
Baba : we umeipenda timu
Mtoto: timu ya fally ipupa.
Baba : kwa hasira , timu ya fally ipupa iko wapi??
Moto : nimemuona dancer wao kaweka nywele dawa.
Baba : daah hili toto huyo ni pogba.
Mtoto : kwa hiyo kaacha mziiki??