Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Kindege= makinda/kindaInasadikiwa kuwa kesho inakuja rasmi hiyo ndege(kindege)
Kindege= makinda/kindaInasadikiwa kuwa kesho inakuja rasmi hiyo ndege(kindege)
NUKUU NO 3#
Nasikia baadhi ya viongozi huko mikoani wanagombania nyumba na magari
Mambo hayo sio muhimu. Viongozi watafanya vizuri wakigombana kuhusu maendeleo ya wanavijiji. Huo ni ugomvi mtakatifu, sawa na mwananchi anayeiba mbolea na kuitumia katika shamba lake
Maneno haya yalipata kutamkwa na waziri mkuu wa zamani wa Tanzania
Edward Moringe Sokoine, October 1982 akiwa Arusha kama mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM.
Sokoine alizaliwa Agosti Mosi, 1938. Na alifariki Dunia kwa ajali ya gari akitokea Dodoma April 12,1984
Morng jimena, vip hali yako ndugu!!?
Shukrani, wiki njema na kwako pia.View attachment 402884View attachment 402885View attachment 402886
Mpaka kufikia hapo sina la ziada. Niite Jimena Jimenes
Shukrani kwenu wote na muwe na wiki njema yenye mafanikio tele
Ciao
Morng papa..Morning family
Morning mukongoMorning family
Inakuwaje kaka mkubwa!!??
Shukrani jjView attachment 402884View attachment 402885View attachment 402886
Mpaka kufikia hapo sina la ziada. Niite Jimena Jimenes
Shukrani kwenu wote na muwe na wiki njema yenye mafanikio tele
Ciao
MorningMorng nduguz...
Wabongo bhana...![]()
Kuna sababu ya kusema ndege mpya badala kandege kapya?
![]()
![]()
![]()
![]()
...............

Niambie jirani..Morning
Poa jirani, Jana ulipotea sanaNiambie jirani..
Jukwaa lipiNendeni mkasome leo katika historia ya Mzee wa kukopi muongeze maarifa
![]()
![]()
![]()
![]()
..............
Utulivu umetawala moyoni, cjui kwakoInakuwaje kaka mkubwa!!??