Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Sema hali ya hewa naona iko cool kaubaridi flani hivi amazing. So umeme hamna but kuchat sio mbayaPole, na sijui kwa nini wanakatakata umeme
Sema hali ya hewa naona iko cool kaubaridi flani hivi amazing. So umeme hamna but kuchat sio mbayaPole, na sijui kwa nini wanakatakata umeme
Nsekwa mambo...watu umewapeleka wapi leo mbona hawapoHata Morinho mwenyewe kesha kuwa mikosi tupu, tangu awakimbie Intermilan amekuwa hana mafanikio kama enzi zile, utafikiri alipata laana

Nipo jiraniHaaaaa sitaki kuamini watu leo wameenda wapi? jirani na wewe umeondoka?!!
Eti ndio wamerudisha sasa hiviPole, na sijui kwa nini wanakatakata umeme
Labda Tanesco alibeti nisemeje sasa.Pole, na sijui kwa nini wanakatakata umeme
Najua jirani huwezi kuniacha peke yangu humu...afu huyu Jimena huyu ngoja nimtafute!Nipo jirani
Sijui kama atakujaNajua jirani huwezi kuniacha peke yangu humu...afu huyu Jimena huyu ngoja nimtafute!
Maana amevurugwaNajua jirani huwezi kuniacha peke yangu humu...afu huyu Jimena huyu ngoja nimtafute!
Mambo poa Sweetie, watu wanakula weekend, kesho watarudiNsekwa mambo...watu umewapeleka wapi leo mbona hawapo![]()
Kuumbe! maskin sikufahamu....Mambo poa Sweetie, watu wanakula weekend, kesho watarudi
Wanakula maisha, si unajua?Kuumbe! maskin sikufahamu....
Au ngoja nimuache tu kama kavurugwaMaana amevurugwa
Leo muache tuAu ngoja nimuache tu kama kavurugwa
KakweliLeo muache tu
Najua sasaWanakula maisha, si unajua?
Hadi Quigley nae anakula maisha leo...Wanakula maisha, si unajua?
?Leo ni jumapili bora kabisaHadi Quigley nae anakula maisha leo...?
nakulaga siku zote jamaniHadi Quigley nae anakula maisha leo...?
Sure..Kwa hali hiyo wapinzani wake watapata fimbo ya kumchapia, so ushindi ni ziro