shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nafikiri ile timu iliyofungwaAu sijui ndio weekend!
Yani eti watu wamesusa..
Nafikiri ile timu iliyofungwaAu sijui ndio weekend!
Yani eti watu wamesusa..
Mchango wako umeishautuma kule Bukoba au badoAu sijui ndio weekend!
Sasa mchezo huwa hauhitaji hasira....ni kupotezea tu, vipi Arsenal wana game lolote hivi karibuni?Nafikiri ile timu iliyofungwa
Walicheza Jana, na game ijayo wanacheza na ChelseaSasa mchezo huwa hauhitaji hasira....ni kupotezea tu, vipi Arsenal wana game lolote hivi karibuni?
Nautuma vipi sasa maana...ile account waliyoiweka kwa Tv sina imani nayo.Mchango wako umeishautuma kule Bukoba au bado
Ila inauma sana, game tatu mfurulizo unafungwa wewe tu, maumivu muhimuSasa mchezo huwa hauhitaji hasira....ni kupotezea tu, vipi Arsenal wana game lolote hivi karibuni?
Nimekumbuka Tanesco wakamaind wakakata umeme huku daaahWalicheza Jana, na game ijayo wanacheza na Chelsea
Mimi wangu nimeutolea kanisani leo hiiNautuma vipi sasa maana...ile account waliyoiweka kwa Tv sina imani nayo.
Na Rooney nae anawaharibia wenzake....Pogba nae duuhIla inauma sana, game tatu mfurulizo unafungwa wewe tu, maumivu muhimu
Jirani usitaje majinaNa Rooney nae anawaharibia wenzake....Pogba nae duuh

Nimesikia na kanisani kwetu wameanza kuchangisha...ntatoa wiki ijayo nikienda.Mimi wangu nimeutolea kanisani leo hii
Hapa wamekata tena umeme ningekuwa naangalia hata movie au Miziki magic....sijui nifanyeje kumepoa jukwaa nalo raia wamekimbiaJirani usitaje majina![]()
![]()
![]()
![]()
![]()



Afadhali useme man4ngoTatizo sijui niwape majina gani!![]()
Pole, na sijui kwa nini wanakatakata umemeHapa wamekata tena umeme ningekuwa naangalia hata movie au Miziki magic....sijui nifanyeje kumepoa jukwaa nalo raia wamekimbia![]()
Ni shida sana!Mathematician: How can you write a 4 in between a 5?
China: Is this a Joke?
Japan: Impossible!
America: The question's wrong!!
UK: Rubbish!!
Tanzanian : F(IV)E
This is the reason you find Tanzanians everywhere in the world in finance, business, medicine, engineering & arts...
anything to do with optimising your brain!!
British: Can you Swim?
Tanzanian : No
British: Then a Dog is better than you because it can swim. Tanzanian : Can you swim?
British: Yes! Tanzanian: Then what's the difference between you and a dog?????
The British got shocked and fainted!! Tanzanian Rocks!![]()
![]()
European : Why do you
Tanzanians come in all colors, look at us, we are all white..? Tanzanian: Horses too come in different colors but donkeys are all the same..!!!
Send to all Tanzanians over the globe!
Happy and proud to be a typical Tanzanian..
UmewalaBado mechi moja tuuu ........asante sana MANYUU
Nyakati huwa hazidanganyi, ngoja tuoneNaona Man u anaelekea kuporomoka kama Liverpool, Ajax na AC Milan
Hata Morinho mwenyewe kesha kuwa mikosi tupu, tangu awakimbie Intermilan amekuwa hana mafanikio kama enzi zile, utafikiri alipata laanaNyakati huwa hazidanganyi, ngoja tuone