makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,929
- 104,244
Amefanya j3 uianze vzur kabisa..Mambo yamenyooka.......napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa MANYUU bila kumsahau POGBA![]()
![]()
![]()
Amefanya j3 uianze vzur kabisa..Mambo yamenyooka.......napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa MANYUU bila kumsahau POGBA![]()
![]()
![]()
Ha ha haaKuangalia mechi za man u na watoto ni shida.
Mtoto : baba Leo wanaocheza akina nani ??
Baba : man united na Watford.
Mtoto: oyooo .
Baba : we umeipenda timu
Mtoto: timu ya fally ipupa.
Baba : kwa hasira , timu ya fally ipupa iko wapi??
Moto : nimemuona dancer wao kaweka nywele dawa.
Baba : daah hili toto huyo ni pogba.
Mtoto : kwa hiyo kaacha mziiki??
Baba kwa hasira akazima TV.
![]()
Sio wa kutoka toka...ila nikiwa na mzuka natoka.Mhh! Unaogopa?
Mpaka mzuka upande! Unaupandishaje?Sio wa kutoka toka...ila nikiwa na mzuka natoka.
Diana Ross - When You Tell Me That You Love Me 19…:
Ukiambiwa neno hilo ni raha sana...lakini akiwa amemaanisha kweli.![]()
Kuangalia mechi za man u na watoto ni shida.
Mtoto : baba Leo wanaocheza akina nani ??
Baba : man united na Watford.
Mtoto: oyooo .
Baba : we umeipenda timu
Mtoto: timu ya fally ipupa.
Baba : kwa hasira , timu ya fally ipupa iko wapi??
Moto : nimemuona dancer wao kaweka nywele dawa.
Baba : daah hili toto huyo ni pogba.
Mtoto : kwa hiyo kaacha mziiki??
Baba kwa hasira akazima TV.
![]()

Asante kwa magazetiView attachment 402884View attachment 402885View attachment 402886
Mpaka kufikia hapo sina la ziada. Niite Jimena Jimenes
Shukrani kwenu wote na muwe na wiki njema yenye mafanikio tele
Ciao
Inasadikiwa kuwa kesho inakuja rasmi hiyo ndege(kindege)![]()
Kuna sababu ya kusema ndege mpya badala kandege kapya?
![]()
![]()
![]()
![]()
...............