Makapuku Forum

Tatzo tunafanya mambo kisiasa na sifa.. Hawajui wapi siasa wapi siasa isihusike.. Haiwezekan kwenye mambo nyeti, maendeleo n.k ulete usiasa usiasa.. Hakuna kitakachofanikiwa
 

Naenda kibanda umiza mechi itaanza SAA 8 kamili
Sitaleta Live update....simu naacha gheto mpira ukiisha nitaleta matukio
Kikofia utatoa update
Kazi kwako

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........................
 
Ndio!! aweke Strategic plans zake mezani...watu tutamsupport....maneno mengi hayatoshi
 
Leo katika Historia:

1502 - Christopher Columbas anawasili Honduras katika safari yake ya nne na ya mwisho kabisa.
Huyu mzee kweli kabisa alisafiri hivyo jamani kama tulivyosoma..sometimes nahisi kama wazungu wametuchezea mchezo wa pata potea hapo! atagundua vipi bara la Africa kwani halikuwa na watu kipindi hicho au inakuaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…