Makapuku Forum

Sure..
 
Umenena sana, acha nigusie ;

ELIMU
...tunataka tuwe nchi ya viwanda,
Tumewaanda vijana na kuwapa
elimu?
Mitaala je?
Au tutaleta wataalum toka Rwanda?
JAPAN
tujifunze toka kwao, walipoamua kuwa nchi ya viwanda waliingia mkataba na usa kuwafundishia vijana 100 kama sikosei, waliporudi nchini walitrain vijana wengi zaidi ndipo Toyota ikaanza.

KILIMO KWANZA
slogan ya kisiasa isiyo na vitendo.
Wakulima wanapata mafunzo?
Wanapata ruzuku kwa kwa wakati?
Wanatafutiwa masoko?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…