Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mi mwenyewe nina uzoefu wa Law nimekutana na kusoma kesi nyingi
Yaani sheria ni km mchezo kati ya
Mpeleka mashtaka (Jamuhuri) dhidi ya mtuhumiwa ......kinachoamua hukumu ni ushahidi/evidence tena samtaimu ni wa kutunga tu au linachezwa dili
Naamini idadi kubwa ya wafungwa wameonewa halafu wanaostahili wapo kitaa wanakula bata
.................
Yeah wengi ambao wako jera ukikaa nao vizur ukamuhoji mmoja mmoja fresh na ukimsoma saikolojia utajua tu amefungwa kimakosa...nadhani hii kitu ipo karibu Magereza yote Duniani sio wote wanaofungwa wana hatia wengine wamesingiziwa wakakosa tu mawakili wazuri wa kuwatetea unaweza ukawa innocent ila huna power ya ku prove innocence.
 
NUKUU NO 1#

Nataka kwanza tuelewane kabla ya kusema lolote, kwamba siasa bado ni ile ile, haikugeuka hata kidogo
Ni ile ile ya Ujamaa na Kujitegemea.
Kule Zanzibar tulizungumza mambo mengi miongoni mwake ilikuwa ni kutoa baadhi ya vipengere vya katiba ya CCM vilivyochukuliwa toka azimio hilo, ili twende na wakati

Maneno haya yalipata kutamkwa na Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassani Mwinyi, Mach 25,1991 katika ukumbi wa diamond jubilee wakati akizungumza na wazee wa Dar es salaam kufafanunua taarifa kwamba kikao hicho cha Zanzibar kuliua azimio la arusha
 
ced01ec22a3db9b736c30456d9c885e6.jpg

Polifix
..... ......
Naona wamemtoa kafara mwenzao kimchezo mchezo hivi hivi....na najua tu safari hii saini itapigwa tu jamaa atanyongwa kweli, japokuwa wa nyuma walikuwa wanapuuzia hukumu za kunyongwa.
 
NUKUU NO 2#

NUMEIRI shairi anapenda lakini lile linalomsifu
Kawanda anawanda hasa akisikia maafu, vita, njaa ya watoto wafu. Elimu ambayo ni sakafu ya maisha, kwake ni ubabaifu.

Maneno haya ni sehemu ya ushairi wa mwandishi stadi wa riwaya,
Ebrahim Hussein
Akiandika kuhusu Numeiri mtawala aliyepata kuitawala Sudan kwa mabavu katika miaka ya 1980. Hussein alizaliwa 1943
 
NUKUU NO 1#

Nataka kwanza tuelewane kabla ya kusema lolote, kwamba siasa bado ni ile ile, haikugeuka hata kidogo
Ni ile ile ya Ujamaa na Kujitegemea.
Kule Zanzibar tulizungumza mambo mengi miongoni mwake ilikuwa ni kutoa baadhi ya vipengere vya katiba ya CCM vilivyochukuliwa toka azimio hilo, ili twende na wakati

Maneno haya yalipata kutamkwa na Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassani Mwinyi, Mach 25,1991 katika ukumbi wa diamond jubilee wakati akizungumza na wazee wa Dar es salaam kufafanunua taarifa kwamba kikao hicho cha Zanzibar kuliua azimio la arusha
Mwinyi hakuwa na shobo na mtu.
 
IMG_20160916_184339.jpeg
IMG_20160916_184328.jpeg

Mzee ruksa
........
 
NUKUU NO 2#

NUMEIRI shairi anapenda lakini lile linalomsifu
Kawanda anawanda hasa akisikia maafu, vita, njaa ya watoto wafu. Elimu ambayo ni sakafu ya maisha, kwake ni ubabaifu.

Maneno haya ni sehemu ya ushairi wa mwandishi stadi wa riwaya,
Ebrahim Hussein
Akiandika kuhusu Numeiri mtawala aliyepata kuitawala Sudan kwa mabavu katika miaka ya 1980. Hussein alizaliwa 1943
IMG_20160916_184612.jpeg
IMG_20160916_184621.jpeg

IBRA
......
 
NUKUU NO 3#

Nasikia baadhi ya viongozi huko mikoani wanagombania nyumba na magari
Mambo hayo sio muhimu. Viongozi watafanya vizuri wakigombana kuhusu maendeleo ya wanavijiji. Huo ni ugomvi mtakatifu, sawa na mwananchi anayeiba mbolea na kuitumia katika shamba lake

Maneno haya yalipata kutamkwa na waziri mkuu wa zamani wa Tanzania
Edward Moringe Sokoine, October 1982 akiwa Arusha kama mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM.
Sokoine alizaliwa Agosti Mosi, 1938. Na alifariki Dunia kwa ajali ya gari akitokea Dodoma April 12,1984
 
IMG_20160916_184932.jpeg
IMG_20160916_184922.jpeg
kuntu
........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom