Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ukiingia soma post ujue uzi umeishia wapi kabla ya kuquote mbona wengine huu ujanja wanajua
Shida ni pale mtu anapoingia na kiherehere cha kuquote post kuanzia alipoishia mara ya mwisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
......................
Na wewe Mbona unaanza kuleta mambo ya majuzii
 
Wala!!! Nenda kaangalie, mkiwa wengi na unajibu quote lazima uachwe[emoji41]
Ukiangalia post za mwishomwisho huwezi kuacha
Ww tu ndo wakuachwa mbona shululu huwezi kumkuta anapost upupu mara 3 katikati ya kikao
Licongo bhana
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.............
........
 
ced01ec22a3db9b736c30456d9c885e6.jpg

Polifix
..... ......
 
Back
Top Bottom