Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mi mwenyewe nina uzoefu wa Law nimekutana na kusoma kesi nyingi
Yaani sheria ni km mchezo kati ya
Mpeleka mashtaka (Jamuhuri) dhidi ya mtuhumiwa ......kinachoamua hukumu ni ushahidi/evidence tena samtaimu ni wa kutunga tu au linachezwa dili
Naamini idadi kubwa ya wafungwa wameonewa halafu wanaostahili wapo kitaa wanakula bata
.................
Daaah......sema ndio hivyo......inabidi unakuwa mpole tuu kama ngamia
 
Wadosi nuksi
Wachafu hawajui seks
Kama hujui muulize mox
Ukicheza utafanywa fisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkongo ww mpiga fix
Kwasababu hujawahi kujimix
Umezoea videmu uwanja wa fisi
Mambo yako km ibilisi
Ngoja vibaka wakupige bisibisi
Utatoka damu km grisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
 
IMG_20160916_180855.jpeg
 
Mkongo ww mpiga fix
Kwasababu hujawahi kujimix
Umezoea videmu uwanja wa fisi
Mambo yako km ibilisi
Ngoja vibaka wakupige bisibisi
Utatoka damu km grisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Shatilo chafu ukosi
Ujanja unafosi
Kichwa madenge hata utosi
Nani akupende we box???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We kichwa box
Niondolee huo mkosi
Nenda karukie garimoshi
Kesho ni jumamosi
Usiwakandie wadosi
..........
Mtoto mkosi
Me ni bosi
Nakuamuru we kifesi
Uachane na wadosi
Maana unawapa mkosi
We kale mapeasi
Huku ukitoa kamasi
Mademu waachie wagosi
Wakuonyeshe makrosi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom