shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Salama kabisa, karibu tenaza usiku kapukuz, nawakosa sana family. tupo pamoja.
Salama kabisa, karibu tenaza usiku kapukuz, nawakosa sana family. tupo pamoja.
ila hawa watu huwa wanakuwaga na roho ngumu sana na wanauwa wenzao, lkn jamaa anatia huruma sanaBora kupigwa risasi tu
Kitanzi unskufa mawazo + mateso
........
Me na uparoko dam damAka paroko
ahsante kamanda, shukrani kwaSalama kabisa, karibu tena
Ananiita mpika pilau=M.PAnachochea nini tena
Mistari hatariMtoto mkosi
Me ni bosi
Nakuamuru we kifesi
Uachane na wadosi
Maana unawapa mkosi
We kale mapeasi
Huku ukitoa kamasi
Mademu waachie wagosi
Wakuonyeshe makrosi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Umeshindwa game weweBaadaye
.............
Umeshindwa game wewe
Nyie ndio chanzooYeah wengi ambao wako jera ukikaa nao vizur ukamuhoji mmoja mmoja fresh na ukimsoma saikolojia utajua tu amefungwa kimakosa...nadhani hii kitu ipo karibu Magereza yote Duniani sio wote wanaofungwa wana hatia wengine wamesingiziwa wakakosa tu mawakili wazuri wa kuwatetea unaweza ukawa innocent ila huna power ya ku prove innocence.
nikusafishie nyotaBahati ya mengine sawa ila sio kuchukua 100k![]()
nikusafishie nyotaBahati ya mengine sawa ila sio kuchukua 100k![]()
Maisha hayana usawaNakumbuka Jamaa moja huko Marekani alibambikiwa kesi, alifungwa maisha akiwa kijana, kaja kutolewa akiwa mzee kabisa, na watu waliomsaidia kutoka ni wa haki za binadamu walikata rufaa na walipeleka ushahidi wa kesi yote
Na sasa serikali ya Marekani inatakiwa kumlipa fidia ya dola milioni mia mbili
AkuNyie ndio chanzoo
Kweli kabisaK/F ifike mbali...we need to do more than this!!
Now KF inaingia kwenye rekodi ya thread zenye MILLION VIEWS
JF nzima hazizidi hata thread 5
Halafu KF ndo imetumia muda mdogo zaidi
Zingine ni
*ArsayNO thread(kitambo sana)
*Chelsea thread(long time)
*Man Utd thread(miaka kibao)
*Wazee wenzangu wa kuweka mzigo/kubet(miaka kibao)
*African satellite world(kitambo sana) ina 2m views ndo kinara
......................
Inategemea umepigwa wapi???Ni kweli aisee risasi ni fasta tu unadedi
nikusafishie nyotaBahati ya mengine sawa ila sio kuchukua 100k![]()
Haina nomaza usiku kapukuz, nawakosa sana family. tupo pamoja.
Ushawahi kujaribu nini??unampa pombe analewa af unasepa zako