sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Ndio namtafuta wakili kwanzaFungua kesi tu
Ndio namtafuta wakili kwanzaFungua kesi tu
Kwa leo haikuwa kawaida yakoSi unajua tupo wengi tunapokezana kijiti
![]()
![]()
![]()
![]()
............
Mtafute sweetiepie mbona yuko vizuriNdio namtafuta wakili kwanza
Ngoja akija nimwambie.......inaweza akawa msaada mkubwaMtafute sweetiepie mbona yuko vizuri
Shululu unapenda kesi wewe!Fungua kesi tu

Nichukue mimiNdio namtafuta wakili kwanza

Nimeshamwambia aniajili mimi...Mtafute sweetiepie mbona yuko vizuri



HutojutaNgoja akija nimwambie.......inaweza akawa msaada mkubwa
MPARE V/S MCHAGA.
Mpare alitangaza anatibu magonjwa yooooooote
kwa tsh. 100,000/=
Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki
yako nakukuongeza laki nyingine.
MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa.
MPARE: "unaumwa nini?"
MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa.."
MPARE: "sawa, toa laki kabisa.."
Mchaga akatoa.
MPARE akamuagiza msaidizi wake; "Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.."
MCHAGA akanywa akatema faster; "Puh puu puu, Aisee huu si mkojo huu..?"
MPARE: "Umepona karibu tena.."
Mchaga aka-mind sana Kesho yake akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.
MCHAGA: aisee nina tatizo la kumbukumbu nasahau
sanaaaaa.."
MPARE akamwambia "hakuna tabu, toa laki tukupe tiba..'
MCHAGA akatoa pesa akijua leo lazima afanikiwe..'
MPARE: "Oya! naomba kikopo no.27.."
MCHAGA: "ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA CHA MKOJO HICHO AISEE..?"
MPARE: "UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()



Huyo si Bitoz huyo nani akose!
Kwahiyo inahitajika shilling ngapi????kwaajili ya hyo kesiiNichukue mimi![]()

Mi LiverpoolHabari zenu mabibi na mababu?
Badae kutakuwa na mechi kati ya Chelsea vs Liverpool
Hivyo nilikuwa naomba niwafahamu mashabiki wa Chelsea pamoja na wa Liverpool
Hivyo nngependa , maana nmewaandalia SAPRAIZI saa 22:00
ASANTENI.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nikijuta je???Hutojuta
Umeongea kweli...mimi pia huwa inanikuta sana hiiHamna sio watu hawataki kuachia nafasi, unakuta uzi maybe una post 20 au zaidi mbele so mtu hawezijua kama umeingia coz anafukuza uzi that's what happened to me!!!
Bitoz mchoyo wa Like.Sasa tulike mambo ya swaga katikati ya mada?
Bora niendelee kulala
Baadaye basi
..................

Sacajo kazi kwako sasaNichukue mimi![]()
Ni kweli aiseeWanakutumia kama Bablishi ukiisha utamu unatemwa.
Yep yepFormula iko hivi, Hutoi like hupati like.

R.I.P1980 - Jean Piaget anafariki Dunia.
Alikuwa ni Mwanasaikolojia na Mwanafalsafa toka nchini Uswizi.
GMC Dar zinahesabika.