Makapuku Forum

Makapuku Forum

1996 - McGeorge Bundy anafariki Dunia.

Alikuwa ni Mtaalamu wa masuala ya Ujasusi na Diplomasia nchini Marekani. Kabla ya vita kuu ya pili ya Dunia alifanya kazi za kijasusi hasa zile za Undercover. Baada ya hapo akawa mtaalam wa usalama na Diplomasia.

Ameshika nyadhifa za kuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Usalama nchini Marekani katika Utawala wa Marais J.F.Kennedy na Lyndon B. Johnson.

Anachukuliwa kama mmoja wa majasusi bora wa wakati wote kuwahi kutokea katika Nchi ya Marekani.
Screenshot_2016-09-16-12-10-35.png
IMG_20160916_121141.jpeg
IMG_20160916_121131.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom