Makapuku Forum

Makapuku Forum

1992 - Dikteta wa zamani wa Panama, Manuel Noriega anahukumiwa kifungo cha miaka 40 jela na Serikali ya Marekani baada ya kukutwa na kosa la Uuzaji wa madawa ya kulevya na usafirishaji haramu wa binadamu.

Kabla ya hapo, Noriega alikuwa ni kibaraka mkubwa wa CIA ambao walichangia kumuweka madarakani kabla ya kumgeuka na kumuondoa madarakani.
 
Marekani ni kinyonga
 
Leo katika Historia:

1908 - Kampuni ya Magari ya General Motors Corporation ( GMC ) yaanzishwa huko nchini Marekani.
IMG_20160916_114249.jpeg
IMG_20160916_114300.jpeg

....
 
1996 - McGeorge Bundy anafariki Dunia.

Alikuwa ni Mtaalamu wa masuala ya Ujasusi na Diplomasia nchini Marekani. Kabla ya vita kuu ya pili ya Dunia alifanya kazi za kijasusi hasa zile za Undercover. Baada ya hapo akawa mtaalam wa usalama na Diplomasia.

Ameshika nyadhifa za kuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Usalama nchini Marekani katika Utawala wa Marais J.F.Kennedy na Lyndon B. Johnson.

Anachukuliwa kama mmoja wa majasusi bora wa wakati wote kuwahi kutokea katika Nchi ya Marekani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom