sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Me nakula mbonaJapokuwa Tausi ni mrembo sana lakini haliwi.
Me nakula mbonaJapokuwa Tausi ni mrembo sana lakini haliwi.
1992 - Dikteta wa zamani wa Panama, Manuel Noriega anahukumiwa kifungo cha miaka 40 jela na Serikali ya Marekani baada ya kukutwa na kosa la Uuzaji wa madawa ya kulevya na usafirishaji haramu wa binadamu.
Kabla ya hapo, Noriega alikuwa ni kibaraka mkubwa wa CIA ambao walichangia kumuweka madarakani kabla ya kumgeuka na kumuondoa madarakani.
Hawajui kama unatoka fwashi ya muneneWawache muneno mingi kila moja akunywe kinywadji mi ntalipa![]()
Ngoja tumlete wakili tumfungulie mashtakaHuyu macaveli10 anajaribu kuleta uchochezi![]()
![]()

1980 - Jean Piaget anafariki Dunia.
Alikuwa ni Mwanasaikolojia na Mwanafalsafa toka nchini Uswizi.
Thanks MussoLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Abdallah Kassim Hanga ( R.I.P ) sina la ziada tukutane tena kesho hapahapa.
Ijumaa Kareem.
Crazy Friday...TGIF.
Bye!
Akwende kwao tabora eeeeKwendraaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hawana rafiki wa kudumu, labda IsraelWanakutumia kama Bablishi ukiisha utamu unatemwa.
HaitabirikiMarekani ni kinyonga
Yap!!!![]()
ila sio uchochezi
Sasa tulike mambo ya swaga katikati ya mada?Formula iko hivi, Hutoi like hupati like.
WordFormula iko hivi, Hutoi like hupati like.
Ni mwanzuoni aliyetukuka katika Saikolojia.
Pamoja Mkuu!Thanks Musso
Labda hao!Hawana rafiki wa kudumu, labda Israel