Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Umepata 80/100Ya kwanza me ni padre mtarajiwa
Ya pili me ni mjeda
Ya tatu nachukia uchochezi
Natumai umenielewa![]()
![]()
![]()
![]()

Umepata 80/100Ya kwanza me ni padre mtarajiwa
Ya pili me ni mjeda
Ya tatu nachukia uchochezi
Natumai umenielewa![]()
![]()
![]()
![]()

Jina lake limeniacha hoi Bundy kama bundi1996 - McGeorge Bundy anafariki Dunia.
Alikuwa ni Mtaalamu wa masuala ya Ujasusi na Diplomasia nchini Marekani. Kabla ya vita kuu ya pili ya Dunia alifanya kazi za kijasusi hasa zile za Undercover. Baada ya hapo akawa mtaalam wa usalama na Diplomasia.
Ameshika nyadhifa za kuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Usalama nchini Marekani katika Utawala wa Marais J.F.Kennedy na Lyndon B. Johnson.
Anachukuliwa kama mmoja wa majasusi bora wa wakati wote kuwahi kutokea katika Nchi ya Marekani.
Mwaka huo Bongo sijui tulizindua nini....


NtamkatazaHuyu macaveli10 anajaribu kuleta uchochezi![]()
![]()
Asante Le DictatorLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Abdallah Kassim Hanga ( R.I.P ) sina la ziada tukutane tena kesho hapahapa.
Ijumaa Kareem.
Crazy Friday...TGIF.
Bye!
Dar hawa wanaishi mbali kabisa na teknolojia na maisha ya Luxury1975 - Nchi ya Papua New Guinea yajipatia Uhuru wake toka kwa Australia.
Sasa me nataka kumfungulia kesi au unanishairi vp???Ntamkataza
Duuuh miaka 40 jera? balaaa1992 - Dikteta wa zamani wa Panama, Manuel Noriega anahukumiwa kifungo cha miaka 40 jela na Serikali ya Marekani baada ya kukutwa na kosa la Uuzaji wa madawa ya kulevya na usafirishaji haramu wa binadamu.
Kabla ya hapo, Noriega alikuwa ni kibaraka mkubwa wa CIA ambao walichangia kumuweka madarakani kabla ya kumgeuka na kumuondoa madarakani.
Wivu mbaya umewaponza wengiDuuu![]()
kama huna wivu basi Ni ufa huo
Sisi miaka hiyo hata sijui tulikuwa wapi1959 - Photocopy mashine ya kwanza ambayo ni Xerox 914 yazinduliwa rasmi huko New York City nchini Marekani.
Njia nzuri ni kujadili kwanza tuone itakuwaje...ikishindikana ntaona kama kuna ulazima wa kufungua kesi.Sasa me nataka kumfungulia kesi au unanishairi vp???
Nichukue mimi![]()
Naskia ninyi mawakili mkiolewa mumeo akikuambia umpe unyumba kama hamtaki nnaanza kusoma vifungu vya sheria....mkiambiwa mpike vivyo hivyo
Sipokei pesa kwanza hadi upate Justice yako pia tuone kama maelezo yako yatakuwa na tija ya kufungua kesi. Tutalijadili hilo mteja wanguKwahiyo inahitajika shilling ngapi????kwaajili ya hyo kesii![]()
![]()
![]()

PichuMwaka huo Bongo sijui tulizindua nini....![]()

Basi ntarudisha nusu ya pesa yakoNikijuta je???
Na dhawadi juuBasi ntarudisha nusu ya pesa yako

Daaaah![]()
![]()
![]()
Naskia ninyi mawakili mkiolewa mumeo akikuambia umpe unyumba kama hamtaki nnaanza kusoma vifungu vya sheria....mkiambiwa mpike vivyo hivyo
![]()
cc: makaveli10






Dah! DathalamuDaaaah![]()
