makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,929
- 104,242
Kwanini!!?Itv nahisi wazuiwa kuonesha wosia wa Baba wa Taifa
Kwanini!!?Itv nahisi wazuiwa kuonesha wosia wa Baba wa Taifa
Haijulikani sababu ni niniKwanini!!?
KamandaNUKUU NO 2#
Nilianzisha mapambano ya kuikomboa Cuba nikiwa na wapiganaji 82.
Kama leo ningerudia kuanzisha mapambano hayo, ningelikuwa wapiganaji Kati ya 10na 15 tu lakini wenye imani kubwa
Katika harakati za kuleta mapinduzi, haijalishi mko wachache kiasi gani ilimradi wote mna imani kubwa na mnachotaka kukifanya
Maneno haya yatamkwa na Rais wa zamani wa Cuba, Fidel Castro.
Alizaliwa huko biran, Cuba Agosti 13,1926
Baada ya kuipindua serikali ya dikteta Batista mwaka 1959,Castro Aliiongoza serikali kama waziri mkuu.
Baadaye akawa Rais kuanzia mwaka 1976 hadi 2008 alipomuachia nafasi hiyo ndugu yake Raul kwa sababu ya kuzorota kwa afya yake
Mpaka sasa afya ya Castro haijatengemaa
Huyu sijawahi hata kumsikiaNUKUU NO 3#
Ilikuwa ni diamond jubilee ambako aghakan alibadili jina langu kutoka Nurdin (maana yake mwanga wa dini) kuwa Al Noor (maana yake mwanga) tukiwa hapo aliendelea kuniita Noor, ndipo watu waliokuwepo wakamuuliza Noor ni nani? Akajibu ni Nurdin, lakini kuanzia Leo ataitwa Al Noor
Na kuanzia hapo nikajukana kama Al Noor na kuachana na jina langu la asili la Nurdin
Maneno hayo ni ya waziri na mwanasiasa wa zamani nchini, Al Noor Kassum, na yamo katika kitabu chake alichokiandika kinachoitwa Africa's Winds of change: Memoirs of International Tanzania
Alizaliwa January 11,1924 alisomea sheria Uingereza,
Mbali ya uwaziri, aliwahi pia kufanya kazi makao makuu ya UNESCO na UN.
LabdaHaijulikani sababu ni nini
Asante sana kwa nukuu ya Leo ankaliSina la ziada nukuu ya leo iliwajia kwa uzamini mnono wa Samata na GENKS, jioni njema
Mambo vipi shemelaKwanini!!?
Mi pia nimegundua hiloWapi briz hajasomeka kabisa leo
Karibu sana AnkaliAsante sana kwa nukuu ya Leo ankali
Poa tu, vip mishe!!?Mambo vipi shemela
Pilika pilika tuuWapi briz hajasomeka kabisa leo
Jana nilipata wito wako,nikaitikia wito ila jii.. Vip kwema!!?Wapi briz hajasomeka kabisa leo
Anatafuta chochote kitu.. Sinajua tena asubuh kodi ya meza inahitajika.Mi pia nimegundua hilo
Kwema kabisa, wanasemaje kigamboni?Jana nilipata wito wako,nikaitikia wito ila jii.. Vip kwema!!?
Ukimuona mwambie namtafutaMi pia nimegundua hilo
Ntamuonea wapi mimi Shem Brizee....akat muda mwingi upo nae weweUkimuona mwambie namtafuta
Asante sana kwa historia mwenyekiti.Baba yao Prince Charles anasubiria Ufalme toka kitambo sana!
Hapo sasa, ila mtafute mpaka umpateNtamuonea wapi mimi Shem Brizee....akat muda mwingi upo nae wewe