Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nakuaje mtakatifu sasa? mbona sikuelewi labda unambie kwanini unasema mimi ni mtakatifu maana nachofahamu hapa Duniani hakuna mtakatifu hata mmoja "maandika yanasema "wote wametenda dhambi wote wameoza" ila tu binadamu tunajaribu kufanya mambo yanayompendeza Mungu na kuomba atusamehe pale tunapokuwa tumeanguka dhambini. Ila mtakatifu Duniani hayupo Ova
 
WHO AM I *QUIZ*

Quiz level: Legendary

1) I have never played in the French Ligue 1 and the German Bundesliga.

2) Two of my managers were Jose Mourinho and Carlo Ancelotti.

3) I ain't German, French or Spanish

4) I have played with players like Wayne Rooney, Samuel Eto'o, Andrea Pirlo and Yaya Toure.

5) I have won the Uefa Champions League

Who am I?

Help guys
 
Ilipaswa tuwe watakatifu na ndio ilikuwa nia ya Muumba tangu mwanzo wa uumbaji... lakini ndio hvyo tena wakati mwingine tunaenda kinyume na maandiko dhambi imekithiri kila kona sasa hivi hata kuongea na Mungu kama zamani vile manabii wanasikia sauti yake na ishara zake haiwezekani..dhambi zimeuficha uso wa bwana.
Uko vizur kwenye sekta hii..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom