sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Nasikia vinaandaa jeshi lao[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani Vingongo vina nguvu gani hadi viwekewe ulinzi
Vimechokaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Nasikia vinaandaa jeshi lao[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani Vingongo vina nguvu gani hadi viwekewe ulinzi
Vimechokaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Jeshi lao la Vingongo Forum limeshakufa kifo cha mendeNasikia vinaandaa jeshi lao[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aanhaa.....kumbe zilikuwa mbwembweJeshi lao la Vingongo Forum limeshakufa kifo cha mende
.............
Teh teh teh.. Tena wazungu walivyo viazi.. Watakuwa walikula sana shimo la marinda maskini..[emoji23] [emoji23] [emoji17] [emoji17]Duuuuh anava nguo za aina gani huyu!! sipati picha watakuwa wamemla sana 0713 hadi kajifia.
Tv ganii hii!!?Hivi hii ni kweli???
Daaah sijui ni Tv gani mkuuTv ganii hii!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bongoland everything is possible
*Makontena na ukubwa wake eti yanapotea
*Twiga mbona kaweza kupanda ndege
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..............
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Askari wa wanyamapori
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
..........
Hii mpya.. Usishangae siku sacajo ukaandikwa kuwa ni rais wa china.Daaah sijui ni Tv gani mkuu
Huyu bitoz ananitafuta......hajui kama nipo na mzuka wa jeshiii nitakuja nimvunje nywele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sacajo sikia dhihaka hizi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwa hali hiyo.......inaweza kutokea kweli MkuuHii mpya.. Usishangae siku sacajo ukaandikwa kuwa ni rais wa china.
Askari wa Wanyamapori wana mbwembwe za kinyatinyati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sacajo sikia dhihaka hizi
Ni kweli mkuu, mambo yamebadilika sana hata kuingia Chit Chat inakuwa ngumu wakati mwingine..Mkuu mimi nipo sema tumepoteana sana.
Nafurahi kukuona Umzima wa khali.
Umezoea kuvuta pembe za nyati poriniHuyu bitoz ananitafuta......hajui kama nipo na mzuka wa jeshiii nitakuja nimvunje nywele
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Askari wa Wanyapori wana mbwembwe za kinyatinyati
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Me siwezi kuvunja pembe......labda kuwavunja majangiriUmezoea kuvuta pembe za nyati porini
Punguza mikwara
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.........
Me sio askari......bali ni mjedaAskari wa Wanyamapori wana mbwembwe za kinyatinyati
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Mjeda kikosi cha mapishi JWTZMe sio askari......bali ni mjeda
Kama ni kamanda niseme nini sasa???Mjeda kikosi cha mapishi JWTZ
Halafu naringia combat
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
............