Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hebu shuka details vizur!!

Ktk historia yake huyu alizaliwa huko south africa kabila lake khoikhoi alichukuliwa kama mtumwa na kupelekwa england kwa madhumuni ya watu kupiga hela kwa kumuweka kwenye jumba la maonesho mbalimbali hii ni kutokana na kuwa na makalio makubwa inaaminika had leo hapajatokea wa kumfunika.

Pia wazungu walikuwa wakilipa hela kwa ajili ya kufanya nae ngono kidogo historia yake ni ndefu sana had kufikia france

Died 29 December 1815 (aged 25–26)
Paris , France
 
Dah.. Ni pini!!!

Bora ningezaliwa kipindi hiko, halaf mission yangu ni kumkomboa huyo mwali tu

Yaani hyo picha nikajua ni cwr p wangu.. Japo sura tu ndio kazidiwa kidogo na Cwt p wangu..
 
Nashukuru umenipa kamuangaza kidogo
 
Dah.. Ni pini!!!

Bora ningezaliwa kipindi hiko, halaf mission yangu ni kumkomboa huyo mwali tu

Yaani hyo picha nikajua ni cwr p wangu.. Japo sura tu ndio kazidiwa kidogo na Cwt p wangu..
usingeweza wazungu waliisimamia hii show ilikuwa inalindwa balaa had ngoz nyeupe walichizika ujue ulikuwa mzigo wa maana ila alikufa mapema sana kutokana na magonjwa ya ngono alidhalilishwa sana ila mwili wake wa south waliufuata
 
1473844228587.jpg

fellaini already made kolarov day happier! losing his teeth [HASHTAG]#FellainiKungFu[/HASHTAG]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom