Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Rapper mkali huyoNamkubali nas kuliko jigga!!
.......
Rapper mkali huyoNamkubali nas kuliko jigga!!
Jana ni jana Leo Ni Leo
Tusirudishane nyuma km hukuwepo mezea siyo kuanzia kuquote past issues
..........
wala usiwaze.....Nas yuko vizur sana mashairi yake ni ya kiharakati
Hii ni vita ya kila mtu, kwa jitihada zetu hope tutaibuka washindi.Poa sana niko vitani vs umaskini
Inaonyesha hata tabia wanafanana hawa
Kiongozi habariRapper mkali huyo
.......
MorningMarhaba, hujambo!!?
Ndio hapo huwa ananichefua zaid!!Jigga yeye akiimba anaisifia tu mishetani yake mwanzo mwisho....au anasifia maisha yake ya kishetani na pesa.
Duuuh haya.Siku mpya mambo mapya
Stori zilizopita zimepita
Ni KOSA KIQUOTE MAMBO YA JANA
......
Mnoooo...Rapper mkali huyo
.......
Ubize ni mzuri sana ila ukipata nafasi unajichanganya kama kawa.nipo ndugu yangu, sema wiki mbili tatu nimekuwa bize sana!
Sio yule domo...Nas yuko vizur sana mashairi yake ni ya kiharakati
Morng, hw r u cwr!!Morning
Anajua kurappuNas yuko vizur sana mashairi yake ni ya kiharakati
Mvaa suruali chini ya mkia kwenye ubora wakeNaomba niseme kitu
NI KOSA KUQUOTE MAMBO YA JANA
Siku mpya swaga mpya
Km huna swaga mtu unakaa pembeni siyo lazima upost
***************************

Namkubali jamaa, ila ndio hvyo tena, muzik kama kaupa kisogo vile
Asante mamaa...nenda inbobo ya kule nimekutumia kitu uone.View attachment 399794View attachment 399795View attachment 399796
Nimemaliza kutoka magazetini, niite Jimena Jimenes
Shukrani kwa wadhamini wetu ambao ni miaka 20 ya kifo cha Tupac
Muwe na siku njema
Ciao