makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,443
- 108,488
Marhaba, hujambo!!?Hodi humu wakuu.....shikamoon
Marhaba, hujambo!!?Hodi humu wakuu.....shikamoon
Siku mpya mambo mapyaWhy???
Heheh
Sijambo mkuu......vipi na wewe hujambo???Marhaba, hujambo!!?
[emoji1] [emoji1] ni katika kuzisaka na family matters PapaaUbize raha sana hasa ukiwa wa [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ubize raha sana hasa ukiwa wa [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385]
WeweNani huyo
HBD Mbowe1961 - Freeman Mbowe anazaliwa.
Ni mwanasiasa na Kiongozi mkuu wa chama cha Upinzani nchini Tanzania ambachi ni Chadema.
Kaka upo poa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante kwa magazeti mkuu
1961 - Freeman Mbowe anazaliwa.
Ni mwanasiasa na Kiongozi mkuu wa chama cha Upinzani nchini Tanzania ambachi ni Chadema.
Kila la heri mkuu[emoji1] [emoji1] ni katika kuzisaka na family matters Papaa
1965 - Dmitry Medvedev anazaliwa.
Ni waziri Mkuu wa sasa wa Nchini Urusi na ambaye Alishawahi kuwa Rais wa 3 wa Nchi hiyo.
Yeye na Vladmir Putin ni watu wawili ambao huwa wanabadilishana uongozi.
Mmoja akiwa Rais mwingine ni Waziri Mkuu, hivyo hivyo daima hubadilishana.
MorningMorning all
aka BitozYohana Elephant[emoji1]
Taratibu na mpira wetu