Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Morning jiraniMorning all
Morning jiraniMorning all
Ndo ukweli huoMvaa suruali chini ya mkia kwenye ubora wake
![]()
![]()
![]()
Morning, za kuamkaMorning jirani
Nimekuelewa.Ndo ukweli huo
Kuna mabingwa wa quote zisizo na sababu
Mtu tunaongea mengine halafu mtu anaporomosha maquote ya Jana
Mtu km swaga zilikupita zipotezee
Anza siku na swaga mpya
..................
Nimeamka salama....i hope na wewe piaMorning, za kuamka
Aungurumapo simba....................................Naomba niseme kitu
NI KOSA KUQUOTE MAMBO YA JANA
Siku mpya swaga mpya
Km huna swaga mtu unakaa pembeni siyo lazima upost
***************************
Ngoma inaitaa aa we enter.. Wamepiga ngoma kama mbili pamoja, patience n as we enterMi napenda umahiri wake kwa kuichambua asili yake hasa africa anapenda sana kuiingiza ktk tungo zake "''' habar gani mzuri sna"" yeye na darmain marley wameyatumia hayo maneno
Kuna nyingine za msingi lakini..Ndo ukweli huo
Kuna mabingwa wa quote zisizo na sababu
Mtu tunaongea mengine halafu mtu anaporomosha maquote ya Jana
Mtu km swaga zilikupita zipotezee
Anza siku na swaga mpya
..................
Ngoma inaitaa aa we enter.. Wamepiga ngoma kama mbili pamoja, patience n as we enter
Nawe nenda huko huko!!Asante mamaa...nenda inbobo ya kule nimekutumia kitu uone.
Mcheza nani!!!...Aungurumapo simba....................................

Yeah.. Wote wako vizur, vichwa vyao vina vitu adimu.Yap jamaa wakikutana hawa kazi zao huwa vizur
Hata ziwe za SekondariKuna nyingine za msingi lakini..
Nimeenda ila hayupo online nkajua bado yupo huku.Nawe nenda huko huko!!
Kauze kashataMcheza nani!!!...
Ila huyu simba toy.. Hana usimba wowote, simba gani anadatishwa na chura.. Chura tu anamjambisha.. Sasa huyo simba au kimba!!!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kafie mbele ya safari huko, mkoroga uji wa watoto kwa wahindi kariakoo..Hata ziwe za Sekondari
Hatuzitaki
![]()
![]()
![]()
.............

Hapana kwa kweli, huku sijamuona ila nahisi alipita tuu, maana nilihis kama harufu ya perfume yake, ila sikutilia sana maanani.Nimeenda ila hayupo online nkajua bado yupo huku.