briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Uko sahihi mkuu 0.0001=0 na hata hiyo 10000 ikiwa ndo numerator kwenye hiyo ratio bado utapata 0 kwasabu hao 10000 ni wasionazoHahaaa... Kweli mkuu. 1/10000=0.0001
Uko sahihi mkuu 0.0001=0 na hata hiyo 10000 ikiwa ndo numerator kwenye hiyo ratio bado utapata 0 kwasabu hao 10000 ni wasionazoHahaaa... Kweli mkuu. 1/10000=0.0001
MathematicianUko sahihi mkuu 0.0001=0 na hata hiyo 10000 ikiwa ndo numerator kwenye hiyo ratio bado utapata 0 kwasabu hao 10000 ni wasionazo
Ni kweli kabisa.. Na ndo hapo ntakapokesha huko shamba hadi na mimi niende huko kwa nsekwaMsimu wa embe nyani hakondi
![]()
![]()
![]()
.........



Unajua Marekani wangekuwa wanajua Dunia itakuwa hivi, wasingeanzisha mifarakano ya Kavita kama ilivyo sasaKivipi mkuu?
Ndio maana yakeKisha ikawachezea mdundiko
![]()
![]()
![]()
.........
Ili baadaye azaliwe hukoHadi utoweka duniani hufiki huko kwa Mzee wa mapicha picha ya Asia
![]()
![]()
![]()
.......
MambozHello Fellaz![]()
Haha najua hesabu za kuhesabu maembe tu mkuuMathematician
Hii conspiracy huwa naiskia sana sijui ukweli ni upi? Naskia hata ISIS ni mpango wao wenyeweUnajua Marekani wangekuwa wanajua Dunia itakuwa hivi, wasingeanzisha mifarakano ya Kavita kama ilivyo sasa
Ili ilikuwa ni plan ya kuichanganya Dunia ili wao wagombane na warabu
Niaje PapaaHello Fellaz![]()
weka wako sasa we MDUFI

Huraay apo mwake!Wapi Congolese, naona una supu ya kuku wa kenyeji.
Umijuaje???Ngoja aje, kichaga cha Uru mawela hicho

Acha macho kodo!!! Ndio kananifanya niwe Alusha kila mala!!!....naamia Tanzaniemkongo sijui aliokotea wapi kitu adimu hiki.. No make up, kako kama kalivyozaliwa kasoro nguo tu, sijui bikra.
Magufuli ataifuta ili ninyi wa selekalini mchape kazi hapa kaze tooTupo tupo tunasindikiza weekend na kesho mapumziko
15 years ago!!! ....time runs like........2001 - Yanatokea mashambulizi ya Kigaidi huko katika miji ya New York, ambapo ndege zilizoongozwa na Magaidi wa Al Qaeda wanashambulia jengo la Biashara la Kimataifa.
Katika tukio hilo maarufu kama " September 11 " pia walishambulia makao makuu ya Jeshi la Marekani " The Pentagon " na kusababisha watu takribani 3000 kupoteza maisha.
Baada ya hapo Marekani ikaanzisha vita dhidi ya Ugaidi, ili kuwasaka wale wote waliohusika ambao ni Al Qaeda chini ya Osama bin Laden.
Kumbe dogo eh!1965 - Bashar Al- Assad anazaliwa.
Ni Rais wa 21 wa Syria.