Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jengo hilo refu linaitwa SHANGAI TOWER lina urefu wa 632m na ni la pili kwa urefu duniani baada ya lile la Dubai. Jengo la jirani yake ni la saba kwa urefu duniani.

Nimepiga picha nikiwa juu ya mnara wa TV na Radio uitwao *Oriental pearl Radio &TV Tower* wenye urefu wa 350m ambao uko kama mita 300 kutoka kwenye jingo hilo. Mnara huo kwenye urefu wa 285m pamejengwa na material transparent kama kioo yanayoonyesha chini palivyo. Jamaa wanakusanya mapato ya utalii kwa wingi sana kwenye mnara huu. Siwezi kutuma picha zote, leo natuma hizi tu za eneo moja tu.

Nawatakia Jumapili njema
Tisher sana nsekwa
 
nsekwa uwe unatupiamona zamademuwakiasia
 
1473595875692.jpg

Afie mbele tumechoka stori zake
.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom