Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huyu mbona analika vizur tu, ukimchunguza vizur huyu ni mrembo tena sana, ila bitoz katuletea picha dada yake alikuwa akaigize scene ya uzombi.. Au kampga make up za kumahribu kusud ili nisimchukue, sasa mie hapa haina uzombi ninakula.. Halaf kwa picha hii namchukua bila ya mahari, nanunua dhahabu kwa bei ya kokoto.
Uko sahihi mkuu afu ukizingatia we hauli sura unachokila kinaweka kizuri na kitam kuliko hata hiyo sura
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom