Utakula hadi nyoka na vyuraYaani nimekutana nao ila mwenzangu amewasifia sana na akasema si mara yake ya kwanza ameshawala nchi moja ya Ulaya na aliporudi Dar aliwatafuta kwa kasi mpaka akawapata
Hello CongoleseHello Fellaz![]()
Hahaa.. Ndio hesau zenyewe hiziHaha najua hesabu za kuhesabu maembe tu mkuu
Nikiangalia kiundan huwa naona kama kiuhalisia fulani vileHii conspiracy huwa naiskia sana sijui ukweli ni upi? Naskia hata ISIS ni mpango wao wenyewe
Toto, toto.. La kienyeji hili.. Sio hawa wengine thupu dha umbwa..Huraay apo mwake!
Unataka niweje kwa mfano...Acha macho kodo!!! Ndio kananifanya niwe Alusha kila mala!!!....naamia Tanzanie
Wachina wanasema kila kitu kilichopo Duniani ni chakula, haya ya kuambiana usile hiki ni utashi wetu tu wa kibinadamuUtakula hadi nyoka na vyura
![]()
![]()
![]()
......
Yaani nimekutana nao ila mwenzangu amewasifia sana na akasema si mara yake ya kwanza ameshawala nchi moja ya Ulaya na aliporudi Dar aliwatafuta kwa kasi mpaka akawapata
konokono!!!Ni kweliWachina wanasema kila kitu kilichopo Duniani ni chakula, haya ya kuambiana usile hiki ni utashi wetu tu wa kibinadamu
Hahaa...
Duh... Appointment..
