weka picha
Asante kwa magazeti mchumba, jumapili inakwendaje?
Mhh!! Cc makaveli10 kazi kwako!
Shemela, mambozzz?Woyoooooo shouts out to lake zone!!!!!!!!!!!!
Ni ukweli kwa asilimia kubwa sanaWanasema mwanaume anayempenda na kumjali mama yake ni rahisi sana kufanya hivyo kwa mke wake. Hongera
Habari za jumapili ankaliMorning Ankali JJ
Kama umiss wanaangalia uzuri kweli pale ni galasaHhhmm... Wacha nijigunie tu...
"Mrembo gani huyu.. Wakat nikikutana nae mtaani wala moyo haushituki"
Nimewaza kwa sauti.
Hhmm.. Sio kweli, kwenye tangazo labda redio au tv kukuhamasisha uangalie kipind fulani. Hawezi kusema hi! I am me!! Kwan shilole yule..![]()
![]()
Atasema! Hi! im malaya carey, you are watching kapuku tv.
![]()
![]()




afu huwa anaongea kwa confidence balaaMuhimu tu niwe shemej yako.. Anaweza akawa mbaya zaid ya masoud sura mbaya.. Ila upande wa pili na muhimu zaid fundi na mrembo wa kitandani zaid ya kim kardashian..Utamuweza?
Anafanana na Mwajuma Ndalandefu
Njoo kwetu Uswaz huku Mabibo Beach umchukue
.........

Ngoja aje, kichaga cha Uru mawela hicho
Ni fresh tu mkuu, vipi huko!!?Mambo niaje humu ndani??
Morning, za weweMorng ndugu zangu...
Nimemkubali hvyo hvyo, kuanzia leo uniheshimu mimi shemej yako, nyama wee...

Poa kabisa mkuu briz, vp IringaMambo niaje humu ndani??
Nzuri sana, vp pande hizoHabari za jumapili ankali
Nzuri, nawe piaHabari za Jumapili wapendwa, nawatakia weekend njema. Huku mambo yanaenda vyema.
Huyu mbona analika vizur tu, ukimchunguza vizur huyu ni mrembo tena sana, ila bitoz katuletea picha dada yake alikuwa akaigize scene ya uzombi.. Au kampga make up za kumahribu kusud ili nisimchukue, sasa mie hapa haina uzombi ninakula.. Halaf kwa picha hii namchukua bila ya mahari, nanunua dhahabu kwa bei ya kokoto.Mhh!! Cc makaveli10 kazi kwako!