Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Tupo hapa..Na usiombee kitaa uwe na wapinzani akina Takuma
Sana.. Ndio maana kwenye din yetu tunafundishwa kuuthamin ujana na kuchanga karata zetu vizur.. Ibada ya kijana na mzee thaman yake tofaut.Ujana una mambo mengi sana
Uwe na hurumaNa usiombee kitaa uwe na wapinzani akina Takuma
hahahaUwe na huruma
Kuna Takuma humu
........
Hakika mkuuSana.. Ndio maana kwenye din yetu tunafundishwa kuuthamin ujana na kuchanga karata zetu vizur.. Ibada ya kijana na mzee thaman yake tofaut.
bravo!!Tupo hapa..
Ila mie soka siko kwenye kuchekana, mara nying nikimalza kuchek mambo yameishia hapo, au labda tutathmin mchezo kifundi zaid, sio kishabiki. Sipend mpira wa kishabiki
Duuh...haya bhana!Yangu lini bishoo ana kitambi
![]()
![]()
![]()
.............
Pombe mimi sinywi, sigara sivuti kabisaNishaanza kuacha
Now starehe yangu ni vishikwambi
![]()
![]()
![]()
...........
Tumemtoa kwa mkopoUwe na huruma
Kuna Takuma humu
........
Haya bhana Mzee wa BalimiPombe mimi sinywi, sigara sivuti kabisa
Nani ndugu yakoNdugu zangu.. Muwe na usiku mwema.
FreshPombe mimi sinywi, sigara sivuti kabisa
Usishangae starehe yake kunywa uji wa uleziHaya bhana Mzee wa Balimi
Tulia boya wewe.. Muuza uduvi..Nani ndugu yako
Acha kujipendeza
Lala zako tu
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Starehe yangu ya kwanza, kuangalia mpira, ya pili music ya tatu tours, ya nne vishikwambiUsishangae starehe yake kunywa uji wa ulezi
![]()
![]()
![]()
........

ZimesahaulikaHabari za Ijumaa wakuu?