Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,298
Hata naona aibu kusoma utetezi wa msomi mtetezi, sielewi kinachoendelea vichwani mwa wasomi wetu kama lipumba, pumba tupuProf liPUMBA anatafuta kick eti "sing'ang'anii nimeombwa"
Sasa km kaombwa halafu uongozi umemchunia zen kakomaa tu...je sio kung'ang'ania huko?
STUPIDITY
....................